Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi

Polisi Zanzibar, walipukiwa na mabomu ya machozi

Bila shaka wamejua maumivy yatokanayo na bomu kulipuka hata kama ni la machozi...
 
Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu. Na ya walipukie tuu, tushachoka sisi.
 
Ningejisikia pole kidogo endapo yangewalipukia machoni. Pole zao.
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Ingekuwa powa Kama yangewasambaratisha kama walivyomfanya marehemu Mwangosi.
 
Ni kama vile umetumwa kupeleka SUMU ya kuuliwa wanadamu wenzio ghafla kopo lasumu linapasuka na kukudondokea mdomoni.....................!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Ingekuwa powa Kama yangewasambaratisha kama walivyomfanya marehemu Mwangosi.
 
...hii kazi mbaya sn; vijamaa vimechokaaa, ila vikitumwa kwenda kurusha mabomu mbio..tena na tabasamu juu!
 
Poleni sana makamanda wetu Mungu awaponye haraka muendelee kujenga Taifa
 
Usiombee ubaya kwaliyekutenda ubaya bali muombee neema ili aweze kupona nakujirudi Mungu apendi kwahayo myasemayo Mungu ndiye jibu
 
Back
Top Bottom