utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Nilitaka niwape pole ila nimkumbuka mwangosi yalimtokea.
Hapa pia napata uthibitisho wa newton third law of motion.
"For every action they is an equal and opposite reaction"
Nawaza tu.
jamani hiyo avatar yako imekaa powa sana!imekaaa powa