Toka lini mwanafunzi akamzidi MwalimuDicteita kaisha ondoka, Sasahivi Watanganyika wanaishi kwa raha,labda Matanga na Sukuma gang, ndio wanaoteseka ๐๐๐ tulisema humu msitukane mamba Kabla haujavuka mto
Dicteita kaisha ondoka, Sasahivi Watanganyika wanaishi kwa raha, labda Matanga na Sukuma gang ndio wanaoteseka ๐๐๐ tulisema humu kuwa,usitukane mamba Kabla haujavuka mto mlitukana matusi ya nguoni Magufuri hata ambao hajatenda Mradi haonekane Magufuri afai.Mungu akaona isiwe tabu kamwondoa kaleta mlio mtaka,naye mnaanza kulialia ๐๐๐๐nilisema mda utafika tu mtakiri kuwa Magufuri alikuwa Rais bora kuliko huyu mliyekuwa mnashangilia