Polisi yavamia na kuvunja ofisi za CHADEMA Dodoma na kupora nyaraka

Mama akiacha hii hali Iendelee, nchi itamshinda huko mbeleni. Asiwategemee sana watu wa Magufuli. Wengi wao hawana uwezo... Waliwekwa kwenye hizo nafasi kutokana na utii wao wa kupokea na kutekeleza maagizo toka juu.
Imshinde mara ngapi? Unadhani yanayotendeka hayana baraka zake?
 
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Mama alkiwa ndiye amiri jeshi mkuu ajifunze kuchagua maneno pale anapongea mbele ya hadhara. Maneno yake ya kutamka "baadhi ya watu kutaka kuleta chokochoko" tafsiri yake ndiyo hii tunaiona kupitia utekelezaji kwa vitendo wa jeshi la polisi.
Mama uwezo wake wa kufikiri ni mdogo kuliko wa babu tale,hiyo nafasi ni bahati ilimpitia...2025 anarudi mchambawima kulea wajukuu wa mcherengwa
 
Magaidi yana umoja mno .

Anayeangushwa na konyagi alafu akasingizia amepigwa na wasiojulikana ni gaidi tu.
 
Dicteita kaisha ondoka, Sasahivi Watanganyika wanaishi kwa raha,labda Matanga na Sukuma gang, ndio wanaoteseka 😁😁😁 tulisema humu msitukane mamba Kabla haujavuka mto
Dicteita kaisha ondoka, Sasahivi Watanganyika wanaishi kwa raha, labda Matanga na Sukuma gang ndio wanaoteseka 😃😄😀 tulisema humu kuwa,usitukane mamba Kabla haujavuka mto mlitukana matusi ya nguoni Magufuri hata ambao hajatenda Mradi haonekane Magufuri afai.Mungu akaona isiwe tabu kamwondoa kaleta mlio mtaka,naye mnaanza kulialia 😁😁😄😄nilisema mda utafika tu mtakiri kuwa Magufuri alikuwa Rais bora kuliko huyu mliyekuwa mnashangilia
 
Mama akiacha hii hali Iendelee, nchi itamshinda huko mbeleni. Asiwategemee sana watu wa Magufuli. Wengi wao hawana uwezo... Waliwekwa kwenye hizo nafasi kutokana na utii wao wa kupokea na kutekeleza maagizo toka juu.
Hawana uwezo na waliwatuliza mkatulia tuliiii...
 
Mtu akifa roho yake inaendelea kuishi kwa yatendekayo ni ushahidi tosha mwendazake bado ameshika usukani
 
Back
Top Bottom