Polisi yavamia na kuvunja ofisi za CHADEMA Dodoma na kupora nyaraka

Kumbe bado wanatafta ushahidi wa magaidi?

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Kumbe wanakamata gaidi halafu hawana ushahidi?Kwa hiyo chochote ambacho kingepatikana kingekimbizwa DSM kama ushahidi? Kweli unaweza ukawa ni chizi msafi unaeongea na umma kumbe mafaili yako (ya kupokelea mishahara) yametunzwa sehemu tu.
 
Hawa polisi wanacheza sana na mind za watu, Sirro anawatisha Chadema na kuwafanya waonekane magaidi halafu wenzao wanapata sababu ya kuwafanyia Chadema kila aina ya uhuni wanaoutaka.

Kama polisi wana hofu na kilichomo ndani ya hizo ofisi kwanini wasiombe funguo wapewe wafungue na kukagua kistaarabu?

Hapa utaona ni polisi ndio wanaotengeneza mazingira ya kuwafanya Chadema waonekane "magaidi" na wale wasio na uwezo wa kufikiria vizuri.

Hizi nguvu wanazotumia polisi bila sababu kwa watu wasio na silaha yoyote zinatakiwa kupingwa na kukemewa kwa nguvu zote, huu wanaofanya polisi kwa Chadema ni ujambazi.
 
Mama akiacha hii hali Iendelee, nchi itamshinda huko mbeleni. Asiwategemee sana watu wa Magufuli. Wengi wao hawana uwezo... Waliwekwa kwenye hizo nafasi kutokana na utii wao wa kupokea na kutekeleza maagizo toka juu.
Yeye mama aliwekwa na nan? unajua unamtukana mama hapa? Hukumsikia akisema yeye na Magufuli ni kitu kimoja? Kama una ushauri nenda kwenye hoja. Kuanza kukandia mtu ama kusifia mtu bila sababu na hakuna hoja ya msingi unayoitoa, huwa ni kwa watu wanafiki wanaotafuta namna ya kukubalika kwa jinsi isiyvo halali ili apate faida binafsi.
 
Tumeichoka aman sasa tunatafuta mifarakano kwa nguvu ila niwakumbushe nyie polis ni wachache sana kuna siku mtayajutia matendo yenu.
Wakukumbushwa si polisi wote.Ni Sirro.Huwa anajisiifu mara alisoma sijui seminari akawa anakaa dawati moja na padre nani sijui!Sasa wale ambao mpaka leo,Papa huyu hapa wao pembeni yake sijui watasemaje?Anyway,hata Magufuli nasikia "alipita" seminari.Sirro akumbushwe impacts za ujinga anaoupigia chepuo.Hautomlipa.Anafanya uhalifu tu.
 
Mungu wetu hujawahi shindwa wewe ni mungu wa haki ukimpenda siro utaliponya taifa lako.
Pale polishsishiemu wanapoacha majukumu yao na kutumika kisiasa ni hatari sana na amin nawambieni mwezi ujao hautafika mtasikia kitu huko , mkuu wao mwenyewe kapaukaaaa japo ana kilamkitu na chanjo kachoma , take my Thread
 
Mama akiacha hii hali Iendelee, nchi itamshinda huko mbeleni. Asiwategemee sana watu wa Magufuli. Wengi wao hawana uwezo... Waliwekwa kwenye hizo nafasi kutokana na utii wao wa kupokea na kutekeleza maagizo toka juu.
Mama uwezo wake kma lusinde au msukuma,ni mweupe kichwani
 
Back
Top Bottom