Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 20,040
- 16,176
Hicho kichwa cha habari kimenistua sana!!
wewe kama mm mkuu!wengine tumeacha watoto Majohe,ukisikia issue ya mabomu inakuwa inachanganya!!
Hicho kichwa cha habari kimenistua sana!!
Hivi auoni kwamba wangetaka kuongea wangekua wameshaongea by now. Mimi ninaona wameshindwa kuelewana tu na kuna watu wamesusa kukuta wenzao.Mimi ninavyoona lakini.😛ray2:Tuache mizaha jamani kinachofanya hawawatu wasikae nakuongea ni nini!? mnaenda kusuruhisha nchi za wenzenu alafu nchini kwako unaacha moshi unafuka unategemea nini! Tunaweza kuzuia mengi zaidi kama ccm na cdm wakikaa arusha na kuyaweka haya mambo sawa! kwani hata kwenye hayo maendeleo ambayo woote tunayataka hivi yanawezekana bila kushirikiana!
JK SI LAZIMA UAMBIWE NA MATAIFA MENGINE UKASULUHISHE NDO UKUBALI SASA MIMI NASEMA KAYAMALIZE HAYA MAMBO ARUSHA KABLA HAYAJAFIKA PABAYA, HUWA YAANZA HIVYOHIVYO NA BAADAYE INAKUWA MBAYA ZAIDI!
Hicho kichwa cha habari kimenistua sana!!
Sitashangaa. Lema amezoea kufanya vitendo vya kihuni.
Hajui kuwa yeye ni mbunge na ubunge una heshma zake.
Mshaurini aache usanii katika siasa. Arudi shule, hajachelewa sana.
mi nilidhani mabomu kama yale ya gongo la mboto.
Pamesha kuwa shwari mkuu...ilikuwa nipurukushani za muda mfupi tu....Tupeni taarifa zaidi, imekuwaje tena hao mbwa wa kikwete hawakomi tuu!
ziweke tena kaka...Niliweka Thread ya jinsi ya kutengeneza Molotov Cocktail au Bomu la Petrol Mods wakaitoa. Kuna umuhimu wa wanachi kujua jinsi ya kujihami na hawa Police koko wanaofikiri kwa makalio yao badala ya kifikiri kwa bongo zao. Mods naombeni nirudishe ile ilimu!