Polisi yatembeza mabomu kwa wananchi Arusha

Polisi yatembeza mabomu kwa wananchi Arusha

Sitashangaa. Lema amezoea kufanya vitendo vya kihuni.

Hajui kuwa yeye ni mbunge na ubunge una heshma zake.

Mshaurini aache usanii katika siasa. Arudi shule, hajachelewa sana.
 
Huu ni uonevu kwa wananchi waliokuwd wakitembea kwa amani kupigwa mabomu.Hawa polisi hawajifunzi kwa wenzao wa misri?
 
jamani nimi uvumilivu umeshanishinda kwa nini mtu mmoja atuletee shida namna hii kila kukicha andengenye and company wanatupiga mabomu wao wanadhani tunawaogopa hawayaoni ya libya sasa eenh CCM muda wako wa kuishi umekwishaa andengenye ni vema ukatambua kuwa wananchi wakichoka hayo mabomu yako wanayaona km mvuke tuu
 
Nyepesi nyepesi kwa wana JF! Kuna hali ya uvunjifu wa amani Ausha. Silaha za machozi zimepigwa maeneo ya karibu na ofisi ya Mkuu wa mkoa jirani na Manispaa ya Arusha. Jamani tunataka amani Arusha. Hali si shwari.
Tuabarishe kuna nini tena Arusha, maandamano nini???????????
 
Kwa kweli ikitokea maandamano ya kweli ya dhamira hawa police wataua sana watu maana hawana mafunzo yeyote ya kupambana na maandamano au migomo mikubwa !!! Yaani hii ya leo ni kali........
 
Hakuna mwenye kuweza kutoa amri kama hiyo kama si shit adengenye.
 
Hao polisi utazani si watanzania, yaani hawana uchungu na Tanzania yetu hii, wakati wengi wao ndo wanaongoza kwa maisha ya chini.. dah ila mambo ya kutii amri lol
 
Waendelee tu kuandamana kwani hata wasipo andamana hakuna kinacho badirika
 
duuuu kunanini tena huko jamani!??

Ndugu wana JF haijajulikana nioni chanzo cha kupigwa mabom, mtajulishwa muda si punde baada ya habari kamili kupatikana kutoka kwenye chanzo cha habari. Tuzidi kuiombea Arusha.
 
Hii ni hatari CDM waachane na hiyo issue!!

This is cowardice! Politics is not for the faint-hearted. Viongozi wetu wa ukombozi Afrika wangekuwa na attitude "ya kuachana na hiyo issue" wakoloni bado wangekuwa wanatamba na sisi wote tunekuwa watumwa
 
Polisi wetu wanazidi kunipa sababu kuwa hili jeshi la polisi ni outfashioned,ni lazima libomolewe lijengwe jipya,
kwa upande wa pili haya yote yanatokea kwa sababu ya kutapatapa na ombwe kubwa la uongozi ambalo nchi inapitia sasa
 
This is cowardice! Politics is not for the faint-hearted. Viongozi wetu wa ukombozi Afrika wangekuwa na attitude "ya kuachana na hiyo issue" wakoloni bado wangekuwa wanatamba na sisi wote tunekuwa watumwa

ByaseL, well said man!!!!
 
Back
Top Bottom