CHADEMA hawajamgusa mtu iweje Polisi wawashtue watu walioko maofisini namna hiyo. Nimeshuhudia mtu akiwa amebebwa kutokana na pressure kwani mabomu yamepigwa karibu naye naye alikuwa anajipitia zake wala hakujua nini kinachoendelea.
Mbaya zaidi mabomu ya leo yana mlio mkubwa kuliko nilivyozoea kusikia
PATIENCE IS NOT A VIRTUE, IT IS A WASTE OF TIME.