wanafunzi 12 wamejeruiwaKama matuta si wawajengee tu kama walivyofanya pale Kibasila Sec Sch kuliko kuwapiga na kuwafyatulia risasi?
nina mashaka juu ya aina ya hekima na busara unayodhani tunapaswa kuitumia, usidhani uelewa wa kutumia viongozi kana kwamba hata waalim wawe hawajui ukizingatia mlolongo wa matukio sehemu husika. hatuna viongozi wanaojua matakwa ya jamii kwa kuzingatia muda, elewa kuwa kuna wakati hata kufanya fujo ni busara pia. kumbuka hekima aliyoitumia mjukuu kumnasa kibao babu alipoitangaza kondom kidini kama njia ya kujikinga na maambukizi ya vvu. misri ilitokea hekima ya vurugu, utajutia ubishi wako siku ukigongewa mkeo. hatuchangii kabla hatujapembua.Wana jm tuwe tunafanya upembuzi kwa habari tunazo changia,ndipo tuchangie. 1 wanafunzi nao hawakupaswa kufuenga barabara,kuna uongozi wao washule huu ndio ulio paswa kufuatilia hili. 2. Polisi sio wakuwalaumu walikuwa wanatekeleza wajibu wao kisheria (tusomeni katiba,tunataka katiba mpya wakati ya zamani hatuja isoma.) 3. Madereva hata kama uzembe ni wa mipango miji,tujaribu kutumia hikma na busara zetu tulizo pewa,kama binaadam. Nashuku
Jaribu uone siku ikitokea vurugu mpige polisi mmoja ukaone jinsi baba yako ambavyo hakukosea. Unaifhamu chupa ya bia itapitishwa sehemu za siri ili kukushinikiza useme ujasiri huo uliupata wapi, na hiyo kwao ni trela picha lenyewe bado.Hivi itakuwaje siku wananchi wakimpga vizuri 2 polisi mmoja kama mfano?
. hatuna viongozi wanaojua matakwa ya jamii kwa kuzingatia muda, elewa kuwa kuna wakati hata kufanya fujo ni busara pia. .
Kama walikua wanatekeleza wajibu wao wa kisheria lazima wakati mwingine busara itumike wale wanafunzi ilitakiwa kuongea nao na kuelewana,sio kuanza kuwarushia mabomu na risasi kwa kisingizio cha kutetea sijui sheria or katiba.Wana jm tuwe tunafanya upembuzi kwa habari tunazo changia,ndipo tuchangie. 1 wanafunzi nao hawakupaswa kufuenga barabara,kuna uongozi wao washule huu ndio ulio paswa kufuatilia hili. 2. Polisi sio wakuwalaumu walikuwa wanatekeleza wajibu wao kisheria (tusomeni katiba,tunataka katiba mpya wakati ya zamani hatuja isoma.) 3. Madereva hata kama uzembe ni wa mipango miji,tujaribu kutumia hikma na busara zetu tulizo pewa,kama binaadam. Nashuku