Polisi wanaendelea kurusha risasi juu maeneo ya Mbezi kwa Yusuph

Tunaomba mwenye taarifa kamili kwa kuwa habari za pale mtaani zinasema kulikuwa na majeruhi na mauaji. Tupeni habari wana jamvi watukufu.
 
Mimi ni mkazi wa mbezi kwa yusuf,nilichosikia hapa mtaani ni kwamba katika purukushani hizo kuna mwanafunzi alipigwa risasi ya kifuani na akapakiwa kwenye defender la polisi na kukimbizwa mjini,ss tarifa ambayo sina ni cofirmation ya hali ya huyo mwanafunzi bt from what i knw huwezi ukapigwa risasi kifuani then ukasurvive.
 
Wana jm tuwe tunafanya upembuzi kwa habari tunazo changia,ndipo tuchangie. 1 wanafunzi nao hawakupaswa kufuenga barabara,kuna uongozi wao washule huu ndio ulio paswa kufuatilia hili. 2. Polisi sio wakuwalaumu walikuwa wanatekeleza wajibu wao kisheria (tusomeni katiba,tunataka katiba mpya wakati ya zamani hatuja isoma.) 3. Madereva hata kama uzembe ni wa mipango miji,tujaribu kutumia hikma na busara zetu tulizo pewa,kama binaadam. Nashuku
 
madereva tukiwalealea watatugonga na kutuua wengi, kuna sheria zinazofaa kwa baadhi tu ya jamii, hii ya zebra haifai tanzania(madereva hawako tayari kuiheshim) tutakuwa salama kidogo angalau kwa msaada wa matuta kwa maeneo yenye historia ya matukio ya ajali, tujali usalama wetu kwanza haraka zetu baada ya kuwa salama.
 
Wana jm tuwe tunafanya upembuzi kwa habari tunazo changia,ndipo tuchangie. 1 wanafunzi nao hawakupaswa kufuenga barabara,kuna uongozi wao washule huu ndio ulio paswa kufuatilia hili. 2. Polisi sio wakuwalaumu walikuwa wanatekeleza wajibu wao kisheria (tusomeni katiba,tunataka katiba mpya wakati ya zamani hatuja isoma.) 3. Madereva hata kama uzembe ni wa mipango miji,tujaribu kutumia hikma na busara zetu tulizo pewa,kama binaadam. Nashuku
nina mashaka juu ya aina ya hekima na busara unayodhani tunapaswa kuitumia, usidhani uelewa wa kutumia viongozi kana kwamba hata waalim wawe hawajui ukizingatia mlolongo wa matukio sehemu husika. hatuna viongozi wanaojua matakwa ya jamii kwa kuzingatia muda, elewa kuwa kuna wakati hata kufanya fujo ni busara pia. kumbuka hekima aliyoitumia mjukuu kumnasa kibao babu alipoitangaza kondom kidini kama njia ya kujikinga na maambukizi ya vvu. misri ilitokea hekima ya vurugu, utajutia ubishi wako siku ukigongewa mkeo. hatuchangii kabla hatujapembua.
 
Hivi itakuwaje siku wananchi wakimpga vizuri 2 polisi mmoja kama mfano?
Jaribu uone siku ikitokea vurugu mpige polisi mmoja ukaone jinsi baba yako ambavyo hakukosea. Unaifhamu chupa ya bia itapitishwa sehemu za siri ili kukushinikiza useme ujasiri huo uliupata wapi, na hiyo kwao ni trela picha lenyewe bado.
 
. hatuna viongozi wanaojua matakwa ya jamii kwa kuzingatia muda, elewa kuwa kuna wakati hata kufanya fujo ni busara pia. .

Sidhani kama ungeyasema haya pia ingekuwa ka vitz ka mkeo kamevunjwa vioo na mkeo kachanwa chanwa uso na vioo ukizingatia mkorogo aliopaka.
 
now nimejua kwa nini wanafunzi walicharuka, shule ipo umbali wa mita100 kutoka highway, wanafunzi walianza andamana kuelekea barabarani kushinikiza yajengwe matuta baada ya mwenzao kugongwa vibaya na bus la alsaedy jumamosi. wakiwa nanaelekea barabarani kuna mwanafunzi alikuwa mstari wa mbele huku akipiga ngoma ya band ya shule, polisi walivyofika wakaanza kumnyang'anya ngoma, katika purukushani mmoja akatoa bastola na kumpiga begani. hivyo ikaamsha hasira kwa wanafunzi wote hata wakaanza piga mawe magari yasiyowahusu.
 
Hao wanaowatetea polisi kuwa wana haki ya kuwapiga wanafunzi risasi na walaaniwe, na siku moja mtoto wakwako atakapopigwa risasi ndipo utakapopata jibu.
 
Tumekuwa na utaratibu wa kuwaadhibu madereva kwa kuwalipisha faini, njia hii imetoa matunda madogo katika kurekebisha tabia za madereva. hivi hakuna aliyefanya utafiti na kutoa mapendekezo kwa wahusika wa kutoa leseni na wasimamizi wake kuhusu kupuuzwa kwa haki za watumiaji wengine wa barabara? Kimsingi daima nitalaani matumizi ya nguvu kujibu madai ya raia. Polisi wao na risasi kila kukicha, au wametumwa kupunguza idadi ya raia? wajiamini na wakubali kuwa hata fikra ya polisi jamii hawatoweza kuikamilisha kwa mtindo huu walioanza nao.
Nchi nyingine huwa nasikia wana risasi za mpira, naomba mnijuze ndio zipi hizo na zinapaswa kutumika kwa utaratibu upi?
Nawasilisha
 
tatizo linaanzia mbali mno, mfumo wa kudahili polisi unaweza kuwa unachangia, ukifanya uchunguzi haraka haraka wa watu unawafahamu ambao ni polisi either ni la saba au form four failure waliokosa nafasi za kujiendeleza. Kundi hili huwa halipendi kutumia ubongo zaidi hupenda shortcut...tukumbuke pamoja na mafunzo pia uwezo binafsi wa kuamua na ku-reason ni muhimu!
 
Wana jm tuwe tunafanya upembuzi kwa habari tunazo changia,ndipo tuchangie. 1 wanafunzi nao hawakupaswa kufuenga barabara,kuna uongozi wao washule huu ndio ulio paswa kufuatilia hili. 2. Polisi sio wakuwalaumu walikuwa wanatekeleza wajibu wao kisheria (tusomeni katiba,tunataka katiba mpya wakati ya zamani hatuja isoma.) 3. Madereva hata kama uzembe ni wa mipango miji,tujaribu kutumia hikma na busara zetu tulizo pewa,kama binaadam. Nashuku
Kama walikua wanatekeleza wajibu wao wa kisheria lazima wakati mwingine busara itumike wale wanafunzi ilitakiwa kuongea nao na kuelewana,sio kuanza kuwarushia mabomu na risasi kwa kisingizio cha kutetea sijui sheria or katiba.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom