Polisi wahaha kufuta ushahidi wa bomu na risasi

Polisi wahaha kufuta ushahidi wa bomu na risasi

Naona hii ni namna ya kuwatisha waandishi wa habari na wapiga picha wasiendelee kurekodi matukio ya mikutano ya CHADEMA kwa kuwa wanawaumbua. Sasa kamera na memory card zinahusiana vipi na mauaji? Kupiga picha kwenye tukio kunahusiana vipi na ushiriki katika mauaji? Wawakamate pia wale wagonjwa waliotoa ushahidi kwenye vyombo vya habari kwamba polisi walimkimbiza mtuhumiwa.
 
Wao hawaogopi kamera za FBI. Maana FBI wako kila kona ya Tanzania sasa hivi, they are monitoring
 
Mambo mengine naona ni utani tuu. Au labda hao polisi wanaona sero zao zimepungua wapiga kelele usiku wakaogopa askari wa zamu kulala counter tu. Hizo memory card, zimeshapoteza hata memory ya lile bomu. Wawarudishie tu wemyewe. Ushauri wangu, wamwendee Mbowe kwa magoti, wasijaribu kumtikisa akili yake ikapoteza memory, wakikubaliana na masharti yake, Mbowe namfahamu. Atawapa huo mkanda wauone, wajichambue, wajue walipokosea, ili mwakani tu, kwenye huo uchaguzi mpya wa madiwani, wajue namna ya kutupa bomu vizuri wasionwe na kamera.
huu ni ushauri wangu tu wana jf msinipige mawe. mimi sio polisi
 
ushauri wako kiboko waufanyie kazi...
 
wanatoa maelezo gan wanapowapekua? na wanakuja na search warranty?...na wanashikiliwa kwa charges gan?

Hayo maswali yako mkuu nayaombea muongozo maana inaonekana huishi Tz. Tz ni guilty until proven innocent Watu wanatoboa macho, kulawiti, kungoa kucha ukiwa hai unadhani kuna wanachoshindwa? Chezea dhaifu wewe he is above the court of low.
 
Dunia ivyokuwa nyepesi mtu anapiga picha inasave directly kwenye dropbox au iclouds sasa wao wanafikiria memory card ambazo sikuhizi ni obsolete media

Si hawa Polis Failure wa form four, unadhani watafanya nini zaidi ya kutumia maguvu
 
kama polisi wetu wengi ni form 4 na std 7 failure watakuwa na akili gani zaidi ya kutafutwa wapiga picha?

hawajui sasa kuna internet kila kitu kinawekwa online within seconds?
wapigwe msasa hata wa ICT kwa ufupi.
shame on them
 
Kiwi mkuu umeelimisha kweli mtu anaziweka kwenye droobox then mwambie policcm umeziweka humo!!!

Wanajua hata dropbox?
Picha ziko ulimwenguni kote watazifutaje?
Wanafikiri dunia nzima makao makuu yako Dodoma ama Magogoni?
Imekula kwao!
 
Naona hii ni namna ya kuwatisha waandishi wa habari na wapiga picha wasiendelee kurekodi matukio ya mikutano ya CHADEMA kwa kuwa wanawaumbua. Sasa kamera na memory card zinahusiana vipi na mauaji? Kupiga picha kwenye tukio kunahusiana vipi na ushiriki katika mauaji? Wawakamate pia wale wagonjwa waliotoa ushahidi kwenye vyombo vya habari kwamba polisi walimkimbiza mtuhumiwa.

wale wavyombo vya habari walinyang'anywa siku hiyo ya tukio..ndiyo maana hakunacho kilichorusha...
 
Polisi mkoani Arusha wakishirikiana na kikosi kilichoundwa kufatilia swala la bomu na risasi walizofurumishiwa wana chadema tarehe 15.06.2013 zilizopelekea vifo vya watu wanne na majeruhi zaidi ya 70, leo wameanza msako wa kukamata wapiga picha wote ambao huonekana kwenye mikutano ya chadema na kila wanapo kukamata wana enda kwako kupekua na kuchukua memory card, flash, cd na kama una komputer wanabeba, mpka sasa wapiga picha wawili wamesha kamatwa.....
★***★***★***★***★

Baada ya kutafuta mlipua bomu,wanaangaika na wapiga picha.AIBU
 
Back
Top Bottom