MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,092
- 7,236
Ntawaripoti kwa jamaa waliokuja na "mkulu wa world" ili waweze kufundishwa kazi yao namna inavyotakiwa kufanywa.Polisi mkoani Arusha wakishirikiana na kikosi kilichoundwa kufatilia swala la bomu na risasi walizofurumishiwa wana chadema tarehe 15.06.2013 zilizopelekea vifo vya watu wanne na majeruhi zaidi ya 70, leo wameanza msako wa kukamata wapiga picha wote ambao huonekana kwenye mikutano ya chadema na kila wanapo kukamata wana enda kwako kupekua na kuchukua memory card, flash, cd na kama una komputer wanabeba, mpka sasa wapiga picha wawili wamesha kamatwa.....