ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
Polis wa tanzania ni kikundi cha wauaji na watesaji, kazi yake ni kukandamiza raia wanaodai haki zao! Polis wa tanzania wamekaa kichama zaidi!
hasa wakubwa wao, wanafanya kazi huku wakitegemea wakistafu wapewe ukuu wa wilaya au wa mkoa....Polis wa tanzania ni kikundi cha wauaji na watesaji, kazi yake ni kukandamiza raia wanaodai haki zao! Polis wa tanzania wamekaa kichama zaidi!