Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Polisi mkoani Arusha wakishirikiana na kikosi kilichoundwa kufatilia swala la bomu na risasi walizofurumishiwa wana chadema tarehe 15.06.2013 zilizopelekea vifo vya watu wanne na majeruhi zaidi ya 70, leo wameanza msako wa kukamata wapiga picha wote ambao huonekana kwenye mikutano ya chadema na kila wanapo kukamata wana enda kwako kupekua na kuchukua memory card, flash, cd na kama una komputer wanabeba, mpka sasa wapiga picha wawili wamesha kamatwa.....
Polisi waache kutumia makamasi kufanya maamuzi. wanadhani waandishi ni wapumbavu kama akina Mwigulu kukaa na sensitive docs kama ile?