mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,912
- 8,639
Subirini ajali za uso kwa uso mpaka mshangae !! Hawa madereva wa kisasa halafu wajue hakuna tochi huko barabarani!! Wallahi mtashangaa na roho zenu !!Traffic wanapaswa kubaki kwenye vivuko (Zebra Cross) kuwasaidia watoto kuvuka barabara kwa usalama zaidi.
Wengine wapelekwe kulinda Bank na kupambana na Panya road.