t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,149
- 17,046
Again unanilisha maneno tena , hapo kwenye hiyo video yako hakuna mashindano , ni basi moja linampita mwenzie , overtaking sio kosa kisheria , hiyo video ipeleke popote humtii hatiani yeyote.Kwa hiyo mabasi yaliyojaza abiria kushindana sawa?