MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,595
- 3,459
Trafiki wanazuia vipi ajali?Na ajali za barabarani zikiongezeka kwa fujo za barabarani msilaumu. Viongozi wanaosafiri na ulinzi barabarani au wanasafiri kwa ndege hawataathirika. Ila watu wa kawaida wanaosafiri na mabasi na magari binafsi ndiyo watapata shida.