Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,068
- 2,457
Hizi mbona zinatokea sana hata hapa , na ni 5000 tu inasort ?
Kumbe unajua kuna vichaa barabarani acha trafiki wawepo pia.
Hizi mbona zinatokea sana hata hapa , na ni 5000 tu inasort ?
Mwenyewe na wasiwasi huenda ajali zikaongezeka maana watanzania wengi hatupendi kufuata sheria bila shuruti au kusimamiwa.Subirini mtaona impacts... Tukutane hapahapa!!
Muwepo ili.muendelee kuishi na 5000 , 5 badala ya kutatua tatizo ,?Kumbe unajua kuna vichaa barabarani acha trafiki wawepo pia.
Wewe kamera unayo kwenye simu wapige picha tuu kinyemela hao wanaokutoa upepo. Lakini ukisema askari waondoke wote barabarani utauwa wengi kwenye hizi barabara zetu.Muwepo ili.muendelee kuishi na 5000 , 5 badala ya kutatua tatizo ,?
Weka kamera watu watapigwa faini bila majadiliano na mtu , watamyooka , askari lake lindo sio kuchukua pesa barabarani
Matukio ya kupigwa picha askari yameripotiwa mengi sana na bado hakuna hatua imechukuliwa .Wewe kamera unayo kwenye simu wapige picha tuu kinyemela hao wanaokutoa upepo. Lakini ukisema askari waondoke wote barabarani utauwa wengi kwenye hizi barabara zetu.
Matukio ya kupigwa picha askari yameripotiwa mengi sana na bado hakuna hatua imechukuliwa .
Halafu hilo sio jukumu langu ni la serikali ndo maana wanakuja na mbinu mpya ,
Askari mkitoa semina tu ya matumizi sahihi ya barabara kwa raia na madereva mnaeza saidia watu pia.
Hapo ndio wasiwasi wangu ulipo naona wazi ajali zikiongezeka, wangeweza kuwa wengi kama kuna sababu za kiusalama ila kama tatizo ni kero ya kupokea rushwa naamini jeshi la polisi wapo wengi wenye hofu ya Mungu naamini wapo, wangepewa hizo kazi hii ingesaidia kupunguza rushwa sana.Waliopendekeza wanasafiri na ndege au wanasafiri na misafara ya ulinzi. Hatari za barabarani hazitawagusa. Ni wanyonge wanaosafiri kwa mabasi ya abiria na magari binafsi ndiyo watateketea.
Mkuu unalazimisha njia ndefu kwa sababu nahisi unanufaika , alichosema kinana kina mantiki na hata mkubwa wa polisi amerespond vizuri, shida ipo huko underground ambapo askari wake ndio wanufaika wa huu mchezo.Kama ushahidi unao fatilia tuu mpaka kieleweke. Jukuma la serikali pia ni kulinda maisha ya wananchi. Kuondoa askari barabarani kunahatarisha maisha ya wananchi.
Na wewe kwa akili yako unaamini traffic wanazuia ajali?Na ajali za barabarani zikiongezeka kwa fujo za barabarani msilaumu. Viongozi wanaosafiri na ulinzi barabarani au wanasafiri kwa ndege hawataathirika. Ila watu wa kawaida wanaosafiri na mabasi na magari binafsi ndiyo watapata shida.
Shida wanakimbia majukumu ya msingi ya kulinda usalama wa raia na mali zao wanakimbilia kulundikana barabarani kila mtu anataka rushwa na sio ukaguzi.Barbara ya arusha to moshi nilidhani ndiyo eneo Lao la kufanya mazoezi! Maana utadhani traffic wote Tanzania wapo hapo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwa akili yako unaamini traffic wanazuia ajali barabarani?Kama ushahidi unao fatilia tuu mpaka kieleweke. Jukumu la serikali pia ni kulinda maisha ya wananchi. Kuondoa askari barabarani kunahatarisha maisha ya wananchi.
Ukipata ajali nani atakuja kukupimia ajali kwa wakati? Gari iki block barabara, nani atatoa msaada kwa haraka? Naona wapunguzwe tu, ila wasiondolewe kabisaNaomba na mm Sexless nitoe Ushauri wangu kwa jeshi la polisi kama alivyofanya Kinana.
Mm nashauri trafiki waondolewe wote barabarani.
Mabasi yanakuja na camera siku hizi waziextend zisome waliko hao trafficHata kujaza abiria unataka wakague mara 1 kwa mwaka sio??
Je kuovatake kwa namna hiyo ni sahihi?Aisee ukitoka Arusha kuelekea KIA wapo traffic wa kutosha wanakuvizia uovatake tu kwenye mstari mnyoofu wanawewe tayari
Kwahiyo ccm ni chama dola ?? !! Ndio maana mnaambiwa katiba mpya ni muhimu !!Nimeamini kuwa chama ndiyo kinashika hatamu hapa nchini.
Kufuatia ushauri wa Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Kinana kwa Polisi kupunguza idadi ya Askari wa Traffic barabarani.
Leo hii Polisi wamesema kuwa watatekeleza maagizo hayo mara moja.
Hakika CCM imejichimbia sana kwenye taasisi zetu za Serikali.
Ndiyo maana leo hii tunawaona wastaafu wa Jeshi hilo wapo kwenye uongozi wa chama hicho kikongwe.View attachment 2308152
Subirini ajali za uso kwa uso mpaka mshangae !!Je kuovatake kwa namna hiyo ni sahihi?
Badala ya kupokea maagizo kutoka serikalini,wanapokea maagizo kutoka ndani ya chama!waziri mambo ya ndani yupo wapi!waziri mkuu yupo wapi!Nimeamini kuwa chama ndiyo kinashika hatamu hapa nchini.
Kufuatia ushauri wa Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Kinana kwa Polisi kupunguza idadi ya Askari wa Traffic barabarani.
Leo hii Polisi wamesema kuwa watatekeleza maagizo hayo mara moja.
Hakika CCM imejichimbia sana kwenye taasisi zetu za Serikali.
Ndiyo maana leo hii tunawaona wastaafu wa Jeshi hilo wapo kwenye uongozi wa chama hicho kikongwe.View attachment 2308152