YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,053
Unapiga simu ofisini wanakuja wakitokea ofisiniUkipata ajali nani atakuja kukupimia ajali kwa wakati? Gari iki block barabara, nani atatoa msaada kwa haraka? Naona wapunguzwe tu, ila wasiondolewe kabisa
Mbona polisi wengine huwa ofisini kukitokea tukio unawapigia wanakuja