Polisi wafuata ushauri wa Kinana bila shuruti

Polisi wafuata ushauri wa Kinana bila shuruti

Kumbe hata Marekani vitochi vipo. Mbona hawapigi kelele?

Traffic police wamekuwa kero barabarani, wapunguzwe yaani hawanaga msamaha hata kama kosa ni la kuelekeza
Ndugu umeandika kero kubwa ya Hawa ndugu zetu katika maisha binafsi ya matumizi ya barabara, Kuna hii kero kubwa zaidi ya kuhujumu uchumi ambayo watu wengi wanaisahau, Fikiria kipindi Cha nyuma kabla ya uboreshaji WA barabara safari ya kutoka DSM hadi Morogoro ilikuwa masaaa mawili na nusu!! Sasa baada maboresho ya barabara na kuongezeka Kwa kero ya polisi muda WA safari umekuwa masaa 4, hivi tumesogea au tumerudi nyuma!? Ripoti ya bank ya Dunia inasema muda WA kusafiri Kwa barabara Tanzania umepunguza kutoka km 60 Kwa saa hadi km 45 Kwa saa!! Hivi hizi report wizara ya usafirishaji na uchukuzi wanazifanyia kazi!? Shutuma zote hizi wizara ya Mambo ya ndani Waziri anaona sawa!? Ndugu Kinana kaona mbali sana, uchumi unakwamishwa pia stress za madereva kutokana na dhuluma ya askari wasio waaminifu na kubambikizia makosa zinaongeza ajali!! Niseme ukweli nimejitahidi kuhusisha wingi WA polisi mabarabarani na kuzuia ajali imeshindikana kuhusiana!! Waondoke TU na kuwe na check point sehemu maalumu
 
Una point mkuu
 
FB_IMG_1659367336986.jpg
 
Waondolewe wabaki wachache WENYE tija wewe nguvu kazi inajipanga barabarani kuanzia BUZA mpaka makumbusho kuanzia mbezi mpaka MBAGALA Nini wanakagua Tena walikuwa chanzo Cha foleni kubwa sana
 
😂🤣😅😆😁😁😄😃😃😀😀😁😆😆😆😆
 
Na check point zichunguzwe
Zifanye kazi kwa haki.kama ile ya Limdi -Mingoyo(mnazimmoja) dereva wa lorry Kama Hana hela Ni usumbufu mkubwa
 
Kumbe hata Marekani vitochi vipo. Mbona hawapigi kelele?

View attachment 2309713
  • Polisi wao wana kiwango kikubwa cha ustaarabu kuliko askari wetu
  • Polisi wao hawapo kwaajili ya rushwa kama wetu
  • Wakubwa wao hawawapangii kipande cha kupeleka jioni kama Tanzania
  • Polisi wao siyo wanasiasa kama wetu
  • Polisi wao wameridhika na vipato vyao si kama wetu
  • Polisi wao ni rafiki wa raia wanamlinda raia huku kwetu wanawalinda wakubwa wao
 
Leo wamesusa kufanya kazi barabara ya kilwa Toka mbagala Hadi puma darajani hapakuwa na traffic... nimeshangaa Sana kuona Hadi jion hapakuwa na traffic eneo lote la rangi 3, najua hawa jamaa wamechukia kuambiwa ukweli
Hasira za mkizi hizo wacha wafe kwa njaa maana walishazoea kudai za kupigia kiwi viatu vyao
 
Na ajali za barabarani zikiongezeka kwa fujo za barabarani msilaumu. Viongozi wanaosafiri na ulinzi barabarani au wanasafiri kwa ndege hawataathirika. Ila watu wa kawaida wanaosafiri na mabasi na magari binafsi ndiyo watapata shida.

Hii haihitaji wingi wao barabarani. Kuna namna nyingi za ku monitor safari na kuhakikisha madereva wanazingatia sheria na taratibu.
 
Back
Top Bottom