Polisi wafuata ushauri wa Kinana bila shuruti

Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia hivi punde , Kwamba baada ya Mzee Kinana kupendekeza polisi wa Trafiki kupunguzwa barabarani , kwa vile ni wengi mno kiasi cha kuwa kero (rushwa), Mchakato wa upunguzaji ushaanza .

Hii ni baada ya Msemaji wa Jeshi la Polisi kukiri kupokea ushauri wa Mzee Kinana na kwamba ushauri huo unafanyiwa kazi .

Hakuna atakayefutwa kazi bali wengi watapangiwa Ulinzi wa Mabenki , fukwe , madaraja na masoko , ni masuala ya kubadilishiwa maeneo ya kazi tu .
Kweli policeccm ni mali ya ccm,tumewasikia wakitii amri ya igp kinana
 
Hivi kwani ratio za raia kwa trafiki zipo?

Au ratio za trafiki kwa polisi wenyewe zipoje?

Au ratio za trafiki na magari zipoje?

Maana bila kujua hizi standard ratio ni vigumu kusema waongezwe au wapunguzwe

Binafsi najua hata ratio za ujenzi ndio maana tumasema mchanga umezidi au siment imepungua

Tungeanzia hapo kazi ilikuwa rahisi sana
 
Hivi kwani ratio za uraia kwa trafiki zipo?

Au ratio ratio za trafiki kwa polisi zenyewe zipoje?

Au ratio trafiki na magari zipoje?

Maana bila kujua hizi standard ratio ni vigumu kusema waongezwe au wapunguzwe

Binafsi najua hata ratio za ujenzi pia ndio maana tumasema mchanga umezidi su siment imepungua

Tungeanzia hapo kazi ilikuwa rahisi sana
Swali hili liende kwanza kwa Kinana halafu kwa IGP
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia hivi punde , Kwamba baada ya Mzee Kinana kupendekeza polisi wa Trafiki kupunguzwa barabarani , kwa vile ni wengi mno kiasi cha kuwa kero (rushwa), Mchakato wa upunguzaji ushaanza .

Hii ni baada ya Msemaji wa Jeshi la Polisi kukiri kupokea ushauri wa Mzee Kinana na kwamba ushauri huo unafanyiwa kazi .

Hakuna atakayefutwa kazi bali wengi watapangiwa Ulinzi wa Mabenki , fukwe , madaraja na masoko , ni masuala ya kubadilishiwa maeneo ya kazi tu .
Hakuna atakayefutwa kazi bali wengi watapangiwa Ulinzi wa Mabenki , fukwe , madaraja na masoko , ni masuala ya kubadilishiwa maeneo ya kazi tu .
giphy.gif
 
Nimeamini kuwa chama ndiyo kinashika hatamu hapa nchini.

Kufuatia ushauri wa Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Kinana kwa Polisi kupunguza idadi ya Askari wa Traffic barabarani.

Leo hii Polisi wamesema kuwa watatekeleza maagizo hayo mara moja.

Hakika CCM imejichimbia sana kwenye taasisi zetu za Serikali.

Ndiyo maana leo hii tunawaona wastaafu wa Jeshi hilo wapo kwenye uongozi wa chama hicho kikongwe.View attachment 2308152
Hili linaenda sambamba na uteuzi mpya.. Kinana ni supika tuu
 
Back
Top Bottom