Polisi wafuata ushauri wa Kinana bila shuruti

Kwa hiyo wewe unajiamulia tuu spidi unayotaka? Ungekuwa peke yako barabarani ningekwambia kanyaga tuu. Lakini barabarani kuna wengi.
Mkuu wewe ni askari au? Maana naona arguments zako hazipo sawa ,
Nikisema speed fulani ni kubwa au ndogo haimaanishi kuwa mie ndiye dereva ,
 
Mnufaika wa rushwa huyo usihangaike nae
 
Shida kubwa naiona kwenye hizo mashine , aliyenunua hizo mashine kwa wingi ule ndiye aliyeaababisha wingi huu wa askari ,
Lengo lake ilikuwa kupata payback kubwa na si vinginevyo
 
Mkuu wewe ni askari au? Maana naona arguments zako hazipo sawa ,
Nikisema speed fulani ni kubwa au ndogo haimaanishi kuwa mie ndiye dereva ,

Kwa nini hazipo sawa? Spidi zinauwa. Sasa bila askari barabarani utadhibiti vipi watu wanaondesha spidi na vurugu?
 
Tanzania hatuna ajali za speed kwa wingi , tunaajali nyingi zi azosababishwa na miundombinu hafifu.
Hapo mlandizi chalinze kuna km 40 tu, kuna check point zaidi ya tisa kwa kipindi fulani zenye askari wanaojificha hadi juu ya miti, lakini ajali bado zinatokea
 
Una ushahidi gani kwamba ajali nyingi hazisababishwi na spidi? Na kama ni kweli kwa nini ajali mbaya zinatokea kwenye highways kama siyo spidi?
 
Ndo maana nikasema nahisi wewe ni askari trafiki , reasoning yako inafanana sana na hao
Head on collision ya 40km/h ni fatal , unajua hilo?
Kitonga na mbalizi panauwa kila siku , napale gari hazikimbii kabisa
 
Brace yourselves for ongezeko la ajali za barabarani. Zikianza kuwamaliza msitafute mchawi nani.
 
Kuna huyu yupo eneo la Buigiri, Chamwino njia panda ya ikulu, huyu usimpo mpa rushwa atakusumbua sana kwa maneno ya kuudhi na kebehi nyingi hasa ukimwambia nitakatie risti nimeamua nilipie bila shuruti. Anzeni na huyu.
Screenshot_20220730-042954_Photo%20Editor.jpg
 
Braces yourselves for ongezeko la ajali za barabarani. Zikianza kuwamaliza msitafute mchawi nani.
Mkuu usikariri
Walvis bay namibia to katima mulillo pana km1650 za lami na check points ni nne tu , hakunaga shida.
Askari wetu wa barabarani hawazuii ajali , bali ni chanzo cha rushwa , ukiwa na 50.tu unatembea speed yoyote unayotaka popote utatoboa
 
Ndo maana nikasema nahisi wewe ni askari trafiki , reasoning yako inafanana sana na hao
Head on collision ya 40km/h ni fatal , unajua hilo?
Kitonga na mbalizi panauwa kila siku , napale gari hazikimbii kabisa

KWa hiyo haya mambo siyo hatari?

Kama mtu anaishi Dar...jana kajionea vituko

Jamaa jana wamemwagwaa kama mchanga, unasimamishwa tu bila sababu za msingi[emoji848]

Wanaboa asee
 
Mkuu usikariri
Walvis bay namibia to katima mulillo pana km1650 za lami na check points ni nne tu , hakunaga shida.
Askari wetu wa barabarani hawazuii ajali , bali ni chanzo cha rushwa , ukiwa na 50.tu unatembea speed yoyote unayotaka popote utatoboa

Wewe unasema hatuna miundo mbinu mizuri halafu unataka watu wakimbize magari kama wanavyotaka. Logic gani hiyo?
 
Hapo barabara mstari wa kuovertake unaruhusu na basi hzi siku hizi zina Vts speed ya mwisho ni 87 km/h,
Umeamua tu kumpa mbwa jina baya

Kwa hiyo mabasi yaliyojaza abiria kushindana sawa?
 
Mkuu usikariri
Walvis bay namibia to katima mulillo pana km1650 za lami na check points ni nne tu , hakunaga shida.
Askari wetu wa barabarani hawazuii ajali , bali ni chanzo cha rushwa , ukiwa na 50.tu unatembea speed yoyote unayotaka popote utatoboa
Wenye hiyo 50 ni wachache. Wengi wanapunguza mwendo sababu ya kuogopa traffic au kukosa hela ya kutoa rushwa. Sasa ni fungulia mbwa tutaisha Hilo halina shaka, subiri ujionee matokeo this time next yr.

Mitanganyika bila fimbo hatuendi achana na huko Namibia semi-German, utamaduni, utii wa sheria na miundombinu ni tofauti kabisa na bongo.
 
Wewe unasema hatuna miundo mbinu mizuri halafu unataka watu wakimbize magari kama wanavyotaka. Logic gani hiyo?
Mbona unanilisha maneno , nani kasema anataka watu wakimbie , road safety ni personal issue sio swala.la askari , nisipofunga mkanda haimuhusu askari ni usalama wangu.
Tatizo askari mmejipa mamlaka ya kimungu ndo maana mnakuwa na arguments kama hizi , mbona mmejaa barabarani na ajali zinatokea kila siku
 
Hebu soma tena hapo ulipoandika. Barabarani hauko peke yako. Ukifanya fujo na maspidi unahatarisha maisha ya wengine pia ambao hawana hatia. Sasa unataka uachwe tuu?
 
Back
Top Bottom