Mzee wangu aangalie asikate vidole kwa shake shake, ni hatari Polisi Zanzibari!!!!!!!!!!!!!aiseeee....huyu sijui kamiksi na babu zake wahabeshi au kapitisha kale ka asha baraka usoni....
Mrs. Officer, I'm guilty as charged.
Kawaida ukiona kigu kizuri sana au kibaya sana cha kutisha unapatwa na mshangao mkubwa wazungu wanasema THUNDERBOLT, sasa ukiwa katika hali hiyo maji utaita mai.........ndo kilichomtokea YO YOaiseeee....huyu sijui kamiksi na babu zake wahabeshi au kapitisha kale ka asha baraka usoni....
Tuongee ukweli,mnajuaje kajikoboa wakati mikono na miguu haionekani?Nadhani kazidisha kale ka asha baraka, joto linamuumiza