Polisi wa kike za kizanzibari

Polisi wa kike za kizanzibari

Mbona hajavaa hijab?Analeta ukristo pemba.
 
amependeza tena mzuri kuliko yule aliyekua anasema mzuri kuliko wanawake wote jf
 
​hivi ile ishu ya kutanguliza ushungi then kofia iliishia wapi aiseeh.
 
Huyo alipaswa awe mpelelezi ili avae kiraia angefanya vizurisaana .
 
nakajua haka nilishakunywa nacho supu pale malindi upande wa pili wa kituo cha polisi. nilimuacha anakaa pale ziwani
 
Back
Top Bottom