1.Amekutwa shambani akiwa amejeruhiwa (na nani?) na kitu...na watu wasio julikana...Polisi hamuaminiki.
Mmeteka watu maelfu mnasema.hamijusiki, at the end of the day inafahamika pasi shaka kuwa you are the CULPRITS.
Soka yuko wapi wakati aliripoti Chang'ombena mkasema hamuhusiki.
Gentleman,Polisi hamuaminiki.
Mmeteka watu maelfu mnasema hamihusiki, at the end of the day inafahamika pasi shaka kuwa you are the CULPRITS.
Soka yuko wapi wakati aliripoti Chang'ombe na mkasema hamuhusiki.
View attachment 3545065
Kwani Tanzania kunajeshi la polisi au kikundi cha kigaidiGentleman,
amini Mungu pekee, acha kuendekeza lawama na imani potofu za kishirikina.
Kuiamini polisi sio lazima, ni hiyari kulingana na imani yako.
Ni vizuri kuacha jeshi la polisi kufanya kazi zake kwa uhuru bila kuingiza imani zako potofu
vikundi vichache vya kigaidi na na baadhi ya mamaluki malofa wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi walikua na dhana potofu dhidi ya polisi Tanzania kama wewe, wakajaribu kupora watu, kupiga wapiga kura na kuharibu miundombinu na matokeo yake wakapeleka zawadi za huzuni na vilio majumbani kwao na kwenye familia zao.Kwani Tanzania kunajeshi la polisi au kikundi cha kigaidi

Nyinyi muda wenu utafika tutawafurusha kama digidigi,jiandaenivikundi vichache vya kigaidi na na baadhi ya mamaluki malofa wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi walikua na dhana potofu dhidi ya polisi Tanzania kama wewe, wakajaribu kupora watu, kupiga wapiga kura na kuharibu miundombinu na matokeo yake wakapeleka zawadi za huzuni na vilio majumbani kwao na kwenye familia zao.
jihadhari na ulofa wa aina hiyo ya fikra gentleman![]()
ni vizuri pia kuijiepusha na imani potofu za kishirikina, pamoja na ramli nonsense kama hizo gentleman,Nyinyi muda wenu utafika tutawafurusha kama digidigi,jiandaeni
