Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,111
- 2,741
These people (our leaders) are in for a rude awakening.
Kuwa nchi huru hakukupi haki ya kuwafanyia vurugu wengine, huu ni utetezi wa kishamba.
huyo mtu mmoja sio mkubwa kuliko nchi na si lazima awe raisi ii aishi afanye hata kazi zingine lakini amani yetu na nchi yetu i muhimu zaidi,uraisi sio cheo cha kudumuPolisi wakiongozwa na IGP na NEC wafanye kazi zao kwa usawa na haki vinginevyo wakifanya kazi ili wamfurahishe mtu mmoja nawaambia lolote baya litakalo tokea mwaka huu wao ndio watajibu na sio huyo mtu mmoja wanae taka kumfurahisha. Wanasemaga akili za kuambiwa... Kazi kwenu
Kumbe mmepanga kumuua mkifanikiwa kumpoka urais.Mnachekesha, sisi ni nchi huru, tunajiamlia mambo yetu. Wazungu wajanja hapo hiyo gharama imeahidiwa kulipwa kwa mikataba minono ya upendeleo atakayo itoa lisu pindi akiwa rais (kitu ambacho hawezi kuwa rais maana watamuua akishindwa urais).
Ametoa ya moyoni wanayopanga hao Mataga!Kumbe mmepanga kumuua mkifanikiwa kumpoka urais.
Zile mbinu za kupita bila kupingwa Tundu Lissu amezisamaratisha.Ametoa ya moyoni wanayopanga hao Mataga!
Kwa kweli Tundu Lissu, amewashika pabaya hao maccm, hadi vitanda havilaliki huko Chamwino!
Hakika mkuu..Polisi na tume kama wangeamua kutenda HAKI na kuheshimu maamuzi ya Watanzania kila kona Nchini kuhusu nani anayestahili kuwa Mbunge wa Jimbo na nani anastahili kuwa Rais wa Nchi hii barua kutoka Amsterdam Partners & LLP isingekuwa tishio kwao, lakini kwa kuwa wanajua dhambi zao tangu 1995 sasa wanaweweseka.
Polisi wakifanya kazi mnasema wameogopa baruaJe, hizi zinaweza kuwa dalili kwa jeshi la polisi kuanza kubadilika au ni kwa sababu ya vitisho vya barua za Robert Amsterdam?
Watu lazima washangae mambo yanatokea kinyume na ilivyozoeleka kwani wamezoea kuona ubabe mwingi na ukiukwaji wa sheria toka kwa hawa polisi.Polisi wakifanya kazi mnasema wameogopa barua
Polisi wamewaachia mumpokee lissu mkajiuliza kulikoni
Serikali ipo kimya mkajiuliza mbona kimya kingi?
Mlishazoea vurugu na maandamano ili kuhalalisha kushindwa kwenu
Mwaka huu mnapigwa kweupeee na hamtapata nafasi ya kufanya vurugu
Sio wa kishamba tu bali wa kipuuzi sana!Kuwa nchi huru hakukupi haki ya kuwafanyia vurugu wengine, huu ni utetezi wa kishamba.