Mbeya: Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya Mdude na Mwabukusi, yasema yanalenga kuhatarisha usalama

Mdude_Nyagali

Member
Dec 11, 2022
60
1,237
Ndugu zangu majira ya asubuhi leo 3rd November 2023 tukiwa katika mkutano wetu na waandishi wa habari tulivamiwa na kukamatwa na askari kadhaa wakiongozwa na Kamishina msaidizi wa jeshi la polisi kutoka ofisi ya RPC Mbeya. Askari hao walitukamata sisi pamoja na waandishi wa habari tuliokuwa nao katika press conference.

Masaa matano baada ya kushikiliwa tuliitwa ofisi kwa RPC kwamba tulikamatwa ili tupewe barua ya inayotuzuia kuandamana kwa amani tarehe 9 Nov 2023.

RPC alidai kuwa OCD hajui tunapopatikana ili atuletee barua ya majibu ya maandamano hayo hivyo ikalazimika tukamatwe ili tupewe barua ijapo OCD huyo alikuwepo wakati wa ukamataji wetu.

Kwa sasa tupo tunaandaa barua ya rufaa kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani kupinga zuio haram la OCD na baada ya hapo tutatoa tamko rasmi.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

TapScanner%2011-03-2023-13%EA%9E%8904_20231103_130546_664_67.jpg
 
View attachment 2802412
Kwa hivyo?

Unaandaa barua kwenda kwa Waziri. Hii ni sawa unamwambia Hamas aende kwa Biden akaombe chakula.
Dahhhh?
 
Ndugu zangu majira ya asubuhi leo 3rd November 2023 tukiwa katika mkutano wetu na waandishi wa habari tulivamiwa na kukamatwa na askari kadhaa wakiongozwa na Kamishina msaidizi wa jeshi la polisi kutoka ofisi ya RPC Mbeya. Askari

View attachment 2802412
Hizi nguvu mnazo zitumia kufanya harakati na mpaka Leo sijajua ni nini mnacho kipambania......

At least 😇 mngekua mnaelekeza hizi nguvu kumobilise vijana kujikomboa ki uchumi na maendeleo ki ujumla....

R.i.p Alphonce mawazo pumzika Kwa amani brother
 
Ndugu zangu majira ya asubuhi leo 3rd November 2023 tukiwa katika mkutano wetu na waandishi wa habari tulivamiwa na kukamatwa na askari kadhaa wakiongozwa na Kamishina msaidizi wa jeshi la polisi kutoka ofisi ya RPC Mbeya. Askari hao walitukamata sisi pamoja na waandishi wa habari tuliokuwa nao katika press conference.

Masaa matano baada ya kushikiliwa tuliitwa ofisi kwa RPC kwamba tulikamatwa ili tupewe barua ya inayotuzuia kuandamana kwa amani tarehe 9 Nov 2023.

RPC alidai kuwa OCD hajui tunapopatikana ili atuletee barua ya majibu ya maandamano hayo hivyo ikalazimika tukamatwe ili tupewe barua ijapo OCD huyo alikuwepo wakati wa ukamataji wetu.

Kwa sasa tupo tunaandaa barua ya rufaa kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani kupinga zuio haram la OCD na baada ya hapo tutatoa tamko rasmi.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

View attachment 2802412
Pigeni palepale kwenye kidonda

Nchi bila CCM inawezekana

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu majira ya asubuhi leo 3rd November 2023 tukiwa katika mkutano wetu na waandishi wa habari tulivamiwa na kukamatwa na askari kadhaa wakiongozwa na Kamishina msaidizi wa jeshi la polisi kutoka ofisi ya RPC Mbeya. Askari hao walitukamata sisi pamoja na waandishi wa habari tuliokuwa nao katika press conference.

Masaa matano baada ya kushikiliwa tuliitwa ofisi kwa RPC kwamba tulikamatwa ili tupewe barua ya inayotuzuia kuandamana kwa amani tarehe 9 Nov 2023.

RPC alidai kuwa OCD hajui tunapopatikana ili atuletee barua ya majibu ya maandamano hayo hivyo ikalazimika tukamatwe ili tupewe barua ijapo OCD huyo alikuwepo wakati wa ukamataji wetu.

Kwa sasa tupo tunaandaa barua ya rufaa kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani kupinga zuio haram la OCD na baada ya hapo tutatoa tamko rasmi.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

View attachment 2802412
Mungu wa mbinguni awabariki sana kwa kazi nzuri mnayoifanya; ninyi ni wazalendo wa kweli Katka Taifa hili
 
Back
Top Bottom