Polisi: Mmiliki wa shule ZamZam amefariki kwa matatizo ya moyo, hakuna viashiria vya mauaji. Familia yatofautiana na Polisi

Amejuaje kama alikufa kwa Ugonjwa wa moyo? Ni ripoti ya Daktari ndo inasema hivyo Je! Hiyo ripoti Familia imepewa na Familia inasemaje mzee alikua na Matatizo ya Moyo?
Kufariki kwa ugonjwa wa moyo siyo lazima mtu awe na ugonjwa uliokuwa unajulikana. Kuna wakati inaweza kutokea tu ghafla. Ila hata hivyo bado kuna utata. Huyo mtoto wa marehemu anasema ni yeye aliingia ndani na kumkuta akiwa bila nguo na majeraha. Siyo rahisi asme uongo na sioni sababu itakayomfanya aseme uongo. Kuna jambo lilitokea lakini polisi ya pongo siku zote ni kuchukulia mambo kirahisi.
 
Global TV Online


POLISI WAFUNGUKA KIFO CHA MKURUGENZI ZAMZAM ISLAM "ALIKOSA MSAADA" Kufuatia kifo cha Mkurungenzi wa Taasisi ya zamzam islam Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya kilichosababisha kifo cha mkurungenzi huyo ambapo kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Muroto Katika Taarifa yake aliyootoa leo 27/12/2019 amesema kifo cha mkurungenzi huyo kimesababishwa na tatizo la moyo kufeli. GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982)



 
Nikiwa mkubwa sitamfanya kagame kuwa role model wangu kama anavyofanya raisi wa nchi ile ya waoga ya visiwa vya komoro!
 
Back
Top Bottom