Polisi mmewaona WCB au?

Polisi mmewaona WCB au?

Hakuna mahali ameomba ushauri. Soma vizuri post yake. Pia hakuna mahali nimemsuta mtu, unless hujui maana ya kusuta.
Duuuh, pole sana kama hujui lugha ya maandishi,ulitegemea hadi aseme. Wewe kwa akili zako unadhani polisi hapajui akaliseme hili aliloliweka humu ......Humu kaomba ushauri,japo ajaandika lakini maelezo yake yanajieleza hivyo.
 
Asante wewe unaejua lugha ya maandishi, ambayo sijui ni lugha gani hiyo. Inaonekana u mjuvi wa lugha ya maandishi, hebu tusaidie kumshauri huyu mtoa post.
 
Hivi hizi fujo tulizofanyiwa leo barabarani na hawa wanaojiita WCB wakiongozwa na diamond platnumz wakitoka kumpokea mwenzao Rayvanny mmeziona au wenyewe wapo juu ya sheria maana bado kidogo tu nipate ajali kwa sababu ya waliyokuwa wanafanya barabarani
Ya wcb ni ishu ya mda nchache tu, nilidhani utaulizia mauaji ya kibiti ama fujo za wcb! Watu wengine bure kabisa
 
Hata huku Singida wamepita sasa hivi ni fujo tupu Gari la kwanza la Harmorapa nyuma alikuwepo rayvanny na Diamond
 
Asante wewe unaejua lugha ya maandishi, ambayo sijui ni lugha gani hiyo. Inaonekana u mjuvi wa lugha ya maandishi, hebu tusaidie kumshauri huyu mtoa post.
Asante kwa kujua mimi ninajua kufuatilia neno kwa neno sio kusoma tu kama ninasoma hadithi.
 
Asante kwa kujua mimi ninajua kufuatilia neno kwa neno sio kusoma tu kama ninasoma hadithi.
Kuna wakati mpumbavu akinyamaza huhesabiwa hekima. Hayo ni maneno ya wahenga. Ni vizuri ukajitunzia kaheshima ulikobaki nako. Tafakari.
 
Kuna vijana walikua wamekaa kwenye madirisha ya magari....yaan makalio na kiuno ndani..miguu nje...then wamarundikana..gar zko speed plus bodaboda..hatar tupu
 
Kuna wakati mpumbavu akinyamaza huhesabiwa hekima. Hayo ni maneno ya wahenga. Ni vizuri ukajitunzia kaheshima ulikobaki nako. Tafakari.
Nyamaza wewe upate hekima, mimi sinyamazi kwa sababu nipo hapa kuelimisha wasiojielewa kama wewe.
 
Nyamaza wewe upate hekima, mimi sinyamazi kwa sababu nipo hapa kuelimisha wasiojielewa kama wewe.
Mkuu hii issue inakutoa povu bure, we potezea iko nje ya uwezo wako kuielewa. Nadhani we sio moja ya wale wachache niliosema wataielewa post ya mtoa mada, ndio maana umeichukulia comment yangu personal. Relax and take it easy.
 
Duuuh, pole sana kama hujui lugha ya maandishi,ulitegemea hadi aseme. Wewe kwa akili zako unadhani polisi hapajui akaliseme hili aliloliweka humu ......Humu kaomba ushauri,japo ajaandika lakini maelezo yake yanajieleza hivyo.
We mama bado unasimama kidete kutetea wapaka lipstick wakijiita wasafi?
Bahati yenu wanaume hatupo hapo tungeoa wote nyie.
 
Sina timu na nazipenda nyimbo zao lkn sheria za barabaran lazima ziheshimiwe, walikuwa wanapita katkat ya barabara kwa speed sana as if wanatumia barabara peke yao na hapo sijui kama walikuwa na kibali au hawakuwa na kibali,kama ingetokea ajali ingekuwa vp
Trafiki angelipima mkuu
 
Mtoa nyuzi ananuka chuki anatakia asafishwe Na. Manukaro ya cibu pafum

Ukichukia wcb utapoteza maisha kwa ugonjwa WA moyo
 
Back
Top Bottom