kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 15,953
- 18,392
Ni asasi ya ccm.wako juu ya sheria mkuu.
Ndiooooooooo Tena ndiooooooooo
Ni asasi ya ccm.wako juu ya sheria mkuu.
Hakuna sheria inayokataza wakazi wa jiji hili kupokea mgeni wao kutoka Airport...
Achana nako haka kamwanamke kana matatizo mkuu.Kwani we umeonaje?
Ya komando kipensi, bonge la muviiiiiiTuma video mkuu.
Shida ni kuhatarisha maisha sio kutosheherekea,ndicho anachokisema muhusika,mambo ya kibiti yamekujaje hapa?Kadhia za watu wa Kibiti usizitaje kwa dhihaka,huebda hata Kibiti hupajui,acha dhihaka wenzetu wanaishi kwa taharuki kupita digidigi,simamia kwenye content ya madaAcheni chuki nyie acha watu wafurahie tuzo ya kwanza ya BET kutua bongo.
Waaaaaasaaaaafiiiiiiiiiiii.... Hutaki hama jiji nenda kibiti huku Dsm tukipata tuzo tunafunga Jiji.
AseeeHivi hizi fujo tulizofanyiwa leo barabarani na hawa wanaojiita WCB wakiongozwa na diamond platnumz wakitoka kumpokea mwenzao Rayvanny mmeziona au wenyewe wapo juu ya sheria maana bado kidogo tu nipate ajali kwa sababu ya waliyokuwa wanafanya barabarani

kumbe dar ndo kuna shida ivoTUMEWAONA.Hivi hizi fujo tulizofanyiwa leo barabarani na hawa wanaojiita WCB wakiongozwa na diamond platnumz wakitoka kumpokea mwenzao Rayvanny mmeziona au wenyewe wapo juu ya sheria maana bado kidogo tu nipate ajali kwa sababu ya waliyokuwa wanafanya barabarani
Timu zipi?Kweli hawawez kunielewa ushabiki wa timu zao wameuweka mbele