Alure
JF-Expert Member
- Dec 27, 2014
- 1,100
- 1,054
- Thread starter
- #61
Thanks mkuu .... labda waelekeze hawa vichwa maji wasioelewa .... wanaleta mambo yao ya team sijui nn .... hzo team zao hatujawai kusikia wamefungana kwa idadi gani ya mabaoShida ni kuhatarisha maisha sio kutosheherekea,ndicho anachokisema muhusika,mambo ya kibiti yamekujaje hapa?Kadhia za watu wa Kibiti usizitaje kwa dhihaka,huebda hata Kibiti hupajui,acha dhihaka wenzetu wanaishi kwa taharuki kupita digidigi,simamia kwenye content ya mada