Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

kwanini tuandamane? tutakuwa kwenye uzinduzi wa hii kitu hapa chini
Hebu cheki hii link hapa chini!!
SUGU ANTI VIRUS
Mbona hiyo ni lugha ya sanaa ya muziki wake style ya Hip Pop kati yake na malumbano na Radio ilijitanabaisha kama Radio ya burudani [Intertainment] imeingiaje hapa kwenye issue ya maandamano, sioni uwepo wa mausiano kati ya mada na issue hiyo ya Sugu.
 
nimeshangaa kwa kweli!
yaani hatuna uhuru wa kufanya mambo yetu ati kisa al shababu wa somalia
nadhani hatuna jeshi na kama lipo nalo mdebwedo
 
Kova amapiga marufuku maandamano ya wanaharakati na vyama vyote ambavyo vina mpango wa kuandamana
tarehe 26.11.2011 kwa sababu ya kuwepo alshabab nchini
images
images


Hapa tumpongeze sana kova kwa kazi nzuri

Mytake

1.clouds fm wanaanda tamasha la usiku 26.11.2011( wapigwa marufuku na wao)
2. Sugu anaandaa tamasha la usiku 26.11.2011 ( nayeye apigwa marufuku)
3.


Kova historia itakuhukumu.
 
Polisi kama wanaogopa kulipuliwa wao wasije, TUTAJILINDA!!
Wanaharakati please hakuna kuahirisha!!
Watanzania nawaombeni kujitokeza siku tajwa "hatoumizwa mende wala sisimizi kukanyagwa!!"
 
Hivi kazi ya polisi ambao tunawalipa mishahara yao kwa kodi yetu, ni kutumia inteligensia yao kugundua al shabab na kupiga marufuku matamasha na maandamano au ni kutumia inteligensia hiyo kuzuia al shabab wasivuruge maandamano? Mbona ni kinyume? Baada ya kujua Al shabab, wangeweka askari wengi sana kulinda maandamano hayo ili al shaba wasiyavuruge.
Kova asitudanganye, polisi wanaweza kuzuia al shabab ila wameshindwa kuzuia ccm. ccm ndo tatizo. Tuambiane ukweli. Siku za mwongo nazo ni 40.
 
Wana Jf nachangia thread hii kwa uchungu mkubwa iv hawa polisi sio watanzania? Ivi kwa nini wanaleta utani kwenye mambo ya msingi kama katiba iv hao alshababi wanahistoria ya kulipua maandamano ya wadai haki tu au na tumewatendea baya gani hawa watu hadi tuwaogope kiasi hicho hebu tujiulize maswali ya msingi, 1.Kwanza yaliandaliwa maandamano ya kupinga malipo ya dowans kov akasema hataruhusu sababu ya alshababi siku moja bada ukachezwa mpira uwanja wa taifa hapo akaka kimya.
2.bunge lilikuwa na kikao na kimeisha wiki hii pia nilitegemea kuwa wangepiga marufuku kwasabu mkusanyiko wa bunge ni hatari zaidi kwani selikali yote ipo pale lakini ulinzi tu uliimarishwa sasa alshababi huwa hawalipui bunge?
3.CCM Wapo wanaendelea na vikao vyao dodoma pia ni mkusanyiko hapo ndio mbaya zaidi kwasababu uongozi wote wa tanzania upo pale lakini pia kova naamini kaimarisha ulinzi. Pia alishababi hawanatabia ya kulipua vikao vya vyama?
4.kama tutaogopa mikusanyiko inamana shule zote zifungwe migodi yote ifungwe na maofisi yote yenye mikusanyiko ivi kitatokea nini?.

PENDEKEZO LA BURE
polisi kazi yao ni kulinda usalama wa raia sio kutoa vibali vya maandamano hivo wasizuie haki yetu ya kikatiba isipokuwa watulinde na chochote kama walivofanya kwa mpira,bunge na vikao vya CCM.
 
ALSHABABU== RAGE sasa kwa nini wasimkamate rage wamweke ndani wengine tuandamane au mkoa wa tabora wasiruhusiwe kuandamana wengine kama kawa hadi kieleweke
 
Nimeuliza swali hili hili kwenye thread nyingine kama hii,
Hivi kazi ya polisi ambao tunawalipa mishahara yao kwa kodi yetu, ni kutumia inteligensia yao kugundua al shabab na kupiga marufuku matamasha na maandamano au ni kutumia inteligensia hiyo kuzuia al shabab wasivuruge maandamano? Mbona ni kinyume? Baada ya kujua Al shabab, wangeweka askari wengi sana kulinda maandamano hayo ili al shaba wasiyavuruge.
Je, hii si kusema polisi na serikali wameshindwa kazi ya kutulinda? Tunawapa mishahara ya kugudua al shabab na kuzuia shughuli zote? Ndo kusema uhuru wa kutenda tutakayo sasa umepunguzwa na al shabab. Na serikali imeshindwa kutusaidia. Sasa wanasubiri nini kujiuzulu?
 
IGP, nilidhani uko katika kipindi kigumu cha kutafuta namna ya kulisafisha jeshi lako ili angalau heshima na kukubalika kwa wananchi kurudi, kumbe ndio uko mstari wa mbele kuzidisha chuki kati ya jeshi lako na wananchi. Kuandamana sio kuvunja sheria kama mnavyotafsiri bali ni njia ya kufikisha ujumbe kwa watu wanodhani hawasikilizwi.

Lakini endeleeni kupiga marufuku maandamano kila uchao, kumbuka tu madai ya haki kwa raia ni sawa na mkondo wa maji, unaweza kuyazuia kwa muda fulani lakini kwa kuwa haki inayodaiwa inazidi kukua kila siku kama maji yaliyozuiwa, siku moja yatapasua hilo tuta na haitakuwa tena mkondo wa maji bali yatakuwa ni mafuriko.

Sijawahi kusikia chombo chochote duniani kuwahi kuzuia mafuriko, labda jeshi lako lililo kubwa kama dunia litaweza kuzuia mafuriko. Mnapiga raia mabomu na risasi, mnawapa shule ya kutengeneza vifaa vya kujihami maana nao wameamua kupambana, kwa ujinga tu wa kudhani virungu vinaweza kupooza njaa, msije shangaa magari na vifaru vyenu vitakapochomwa moto.

Hapo ndipo mtajua kwamba mafuriko hayazuiliki. Mlishindwa kupambana na wafanyabiashara Mbeya itakuwaje kwa nusu ya jeshi la vijana wenye njaa na shida lukuki ambao wameamua kujitoa mhanga?
WAACHENI RAIA WAANDAMANE WAPENI ULINZI, WATAANDAMANA KWA AMANI KISHA WATARUDI NYUMBANI KWA AMANI.

MTAPUNGUKIWA NINI KAMANDA MWEMA?
 
Kova amapiga marufuku maandamano ya wanaharakati na vyama vyote ambavyo vina mpango wa kuandamana
tarehe 26.11.2011 kwa sababu ya kuwepo alshabab nchini
images
images


Hapa tumpongeze sana kova kwa kazi nzuri

Mytake

1.clouds fm wanaanda tamasha la usiku 26.11.2011( wapigwa marufuku na wao)
2. Sugu anaandaa tamasha la usiku 26.11.2011 ( nayeye apigwa marufuku)
3.
Kama lengo sio kutaka kuzima maandamano halali, si wawaachie watu waandamane tuone Al shababu watafanya nini??????????

 
Kova amapiga marufuku maandamano ya wanaharakati na vyama vyote ambavyo vina mpango wa kuandamana
tarehe 26.11.2011 kwa sababu ya kuwepo alshabab nchini
images
images


Hapa tumpongeze sana kova kwa kazi nzuri

Mytake

1.clouds fm wanaanda tamasha la usiku 26.11.2011( wapigwa marufuku na wao)
2. Sugu anaandaa tamasha la usiku 26.11.2011 ( nayeye apigwa marufuku)
3.
Katibu wa UN Bwn Bankmoon na serikali za magharibi hasa USA pamoja na Mureno Ocampo wa ICC sikia Tanzania hakuna demokrasi mnayohubiri!!!!!!!!!!!!!!!
Ujumbe huu uwafikie huko walipo!!!!!!!
 
Maandamano yaliyotaka yafanywe na asasi zisizo za kiserikali kudai marekebisho ya mswada wa katiba yamekwaa kisiki kikuu cha alshababu, Mpaka nawasilisha nikuwa kutokana na Tishio la alshabab hakutakuwepo kwani ni gharama na kazi kubwa kuhakikisha usalama katika maandamano yao.

Atakaye andamana kukutana na nguvu ya dola.


Naomba kuwasilisha


My Take:

Mbona mkuu wa kaya alikaa na wazee

Sasa kwa nini hiyo nguvu ya dola isikutane na Al-Shabab? Huu uhuni wa kutoa sababu zisizokuwa na msingi zitaleta madhara. Polisi wasiwahadae wananchi, sasa wajibu wao ni nini kama si kumlinda mwananchi? Wananchi tuandamane tuone kama kuna Al-Shabab, tusiandikie mate wakati wino upo. Nani mkweli hapa.
 
tena ingekuwa trick maridawa, angefanya kama alivyokamata mtoto wa gaddafi,

walioandamana arusha juzi kumpokea lema al shaabab walikuwa likizo, walipoandamana machinga mbeya juzi al shaabab walikuwa likizo, mkusanyiko wa kikao cha ccm dodoma al shaabab wapo likizo, jk kukutana na wazee wa ccm sabasaba ground tena huko temeke al shaabab walikuwa likizo! mikusanyiko inayoendelea kuadhimisha miaka 50 ya uhuru mamboleo al shaabab wapo likizo, siku ya tar. 9 dec uwanja wa taifa watakuwa likizo....lakini tarehe 26 maandamano ya wananchi kupinga utaratibu ulotumika kuandaa mswada wa katiba al shaabab watakuwa kazini...well n' good. msg sent!

.......na lile lundo la watu kila asubuhi na jioni pale kituo cha mabasi ubungo, al shabab nalo hawalioni! lol
 
kwa wale watakaoleta fujo wakumbuke kuwa kuna watuliza fujo, ni maneno ya layman Lusinde
 
Kama wakizidi kuzuia haki ya watu kuandamana tuamue kugoma juma zima tukiwa majumbani mwetu, hakuna kwenda job wala nini, tuone kama watatufuata na vitisho vya alshabab majumbani mwetu.
 
mimi naomba magaidi waipige kweli tanzania kwani tumezoea kuwasingizia na polisi wanaomba magaidi waje tanzania.mungu naomba kama wanawasingizia magaidi , naomba magaidi wapige kweli ikulu kwani ata kuwasingizia magaidi kila siku atuwatendei haki ni bora wapige kweli
Mimi naomba yapige pale dodoma maana mafisadi wengi kwasasa wako pale DODOMA
 
U make a point to note mdau
Serikali na hasa huyu Kova watuhakikishie usalama wa watoto wetu tarehe 9 December 2011 vinginevyo kila mzazi afikirie mara mbili kabla mwanao hajaenda uwanja wa Taifa.
 
Back
Top Bottom