Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

hakuna cha alshababu wala ashabibi hapo....... wa TZ hatuna roho ya kujitoa mhanga.. ni waoga....
 
Dear Members! Nasikitika kusema maneno haya yafuatayo...NATAMANI SANA HAO ALSHABAB WAJE WATUPIGE KIDOGO ILI HUU UMBEA WA KUWASINGIZIA UPUNGUE AU UWEPO RASMI. Kwa kadiri ya uelewa wangu juu ya hili kundi ni kwamba wanakushambulia wanapoona maslahi yao unayaingilia kitu ambacho Bongo hakipo, hatuna kabisa mvuto kwa alshabab ila pia kwa security system yetu kama wakitaka kutushambulia wala hawatumii nguvu tena watatuambia saa, muda na mahali kama Akina OSALE OTANGO nA Paul walivyowafanya wazungu. Ujiinga
 
Halafu wasivyokuwa na akili hawajui kuwa kila siku kutangaza hivyo ndio wanazidi kujenga evil-minds kwa baadhi ya watu ambao wanaweza kufanya jambo lolote chini ya kivuli cha Alshabab hivi tuulizane, kweli kuna Alshabab wabaya kuwazidi akina J waliokula millions na wengine wengi wanaondelea kuiba? OK, ipo siku hawa jamaa watatutia akili tu! Ngoja tuendelee kuwatania tu NA SHEREHE ZA UHURU zitakuaje? Mbona tunamtega Mungu? Ooh jamaa wanaweza kufanya kweli, shauri yenu nyie watanieni tu!
 
Maandamano yaliyotaka yafanywe na asasi zisizo za kiserikali kudai marekebisho ya mswada wa katiba yamekwaa kisiki kikuu cha alshababu, Mpaka nawasilisha nikuwa kutokana na Tishio la alshabab hakutakuwepo kwani ni gharama na kazi kubwa kuhakikisha usalama katika maandamano yao.

Atakaye andamana kukutana na nguvu ya dola.


Naomba kuwasilisha


My Take:

Mbona mkuu wa kaya alikaa na wazee

HII kwangu sio habari, coz' nilishajuwa tangu awali kwamba maandamano yasingekuwapo!!!
 
Kova amapiga marufuku maandamano ya wanaharakati na vyama vyote ambavyo vina mpango wa kuandamana
tarehe 26.11.2011 kwa sababu ya kuwepo alshabab nchini
images
images


Hapa tumpongeze sana kova kwa kazi nzuri

Mytake

1.clouds fm wanaanda tamasha la usiku 26.11.2011( wapigwa marufuku na wao)
2. Sugu anaandaa tamasha la usiku 26.11.2011 ( nayeye apigwa marufuku)
3.

Kama anajua walipo El Shabab kwanini asiwakamate? Na je anafikiri hao el shabab yanasubiri maandamano ya wanaharakati!
 
Tuna polisi na usalama wa Taifa (CCM) kibao halafu hawanyikazi ukitaka kuamini kama unawafahamu ukienda maeneo ya Sinza kwene Bar fulani hivi utawakuta wamejazana au pale maeneo ya Hotel fulani jirani na Palm wapo tu wanaona nchi yao, ukija kijitonyama ndio wamejazana unakunywa unamuona kapita, eti wanatafuta information bar! siku moja walikua pale kwa Mama Kamche jirani na Kakobe jamaa yao mmoja akamgonga mwendesha baiskeli halafu wao ndio wakatoa bastola wanamtishia!!! Niliwashangaa sana kwa ujinga wao
 
Ni suala la muda tu, am sure time will tell! Ila kuwasingizia alshabab ni kosa kubwa sana la kiufundi, watalikumbuka na kulijutia
 
Hii al shaabab ni lazima lina ubia na Green Guard au vinginevyo basi ni JKKMT (Jeshi la Kulinda Mafidi Tanzania)
 
wanaharakati na Chadema wamefyata kufanya maandamano baada ya kupanga maandamano hayo jumamosi na polisi kuyapiga stop leo na kusema atakaye andamana atakabiliana na nguvu za ndola, ndipo ninapo wakumbuka CUF wanapotangaza maandamano hufanya hata kama polisi watazuia, CUF iliwapika vipi wanachama na wapenzi wa chama hicho mpaka kuwa na moyo wa ujasiri na hiyo, kweli hakuna chama chenye kuweza kuiga au kutenda ujasiri ule wa wafuasi wa CUF?
 
Maandamano yaliyotaka yafanywe na asasi zisizo za kiserikali kudai marekebisho ya mswada wa katiba yamekwaa kisiki kikuu cha alshababu, Mpaka nawasilisha nikuwa kutokana na Tishio la alshabab hakutakuwepo kwani ni gharama na kazi kubwa kuhakikisha usalama katika maandamano yao.

Atakaye andamana kukutana na nguvu ya dola.


Naomba kuwasilisha


My Take:

Mbona mkuu wa kaya alikaa na wazee

Kama ni garama kufanya ulinzi je kuzuia haitakuwa garama? Policcm msituhadae na upupu wenu wa kulea vitambi badala yakuweka fikra zenu kwenye mambo ya maendeleo
 
Na siku hiyo kutakuwa na ulinzi wa ajabu yaani hata nzi hatasogea, atakayekuwa hajitaki ajitokeze , utajuta kuzaliwa!

Na siku kikinuka wajitokeze hivyohivyo ili tuwalipizie hasira zetu
 
mkigoma.......hivi Chadema walisema wanaandamana jmosi?nani alitangaza maandamano hayo?
 
nani kakuambia CHADEMA wataandamana jmosi wewe? msipende kupotosha watu
 
wanachelea kukiri kuwa walifanya makosa kususia mijadala katika mifumo halali kama Bungeni. then kuna haya sijui makongamano,midahalo n.k kama kweli mawazo na michango waliyokuwa wakitoa wananchi waliyapeleka kunakohusika. jamani naomba kwa mwenye taarifa za uhakika anijuze kama hawa jamaa wa jukwaa la katiba wamewahi kupeleka maoni yaliyotolewa na wananchi kwenye kamati ya bunge iliyokuwa inakusanya maoni au ilikuwa ni just makongamano/midahalo then ndo basi no mrejesho..
 
Huyu kova mpuuz sana. Kama wanaona uchungu wananchi kuuwawa na alshabab mbona wanatuua wenyewe na mipolis yao isioenda shule. Arusha, Tarime(nyamongo) bulyanhulu etc ni mifano tosha. Tuandamane watuue wenyewe badala ya alshabab
 
wanaharakati na Chadema wamefyata kufanya maandamano baada ya kupanga maandamano hayo jumamosi na polisi kuyapiga stop leo na kusema atakaye andamana atakabiliana na nguvu za ndola, ndipo ninapo wakumbuka CUF wanapotangaza maandamano hufanya hata kama polisi watazuia, CUF iliwapika vipi wanachama na wapenzi wa chama hicho mpaka kuwa na moyo wa ujasiri na hiyo, kweli hakuna chama chenye kuweza kuiga au kutenda ujasiri ule wa wafuasi wa CUF?
CCM mmezoea kuongea uongo kiasi kuwa hamjitambui. Kwa kifupi danganyeni maiti wenzenu, CHADEMA hajatangaza maandamano na ikitangaza usidhani itakuwa kama akina deus kibamba wanaotaka kuandamana pale tu wanapopewa kibali na polisi, CHADEMA inajua sio kazi ya polisi kutoa kibali cha maandamano.
 
mmmmhhh kumbe CDM inakubalika hivyo tanzania dah siamini hiki kitu aisee..
 
ungekuwa mtoto wangu wa kike ningekuoza kwa kubadilishana na karanga
 
Je CUF mngekuwa na ujasiri mngekubali ndoa ya mkeka? hio ndoa ni ishara ya kunywea police na kutanguliza maslahi binafsi mtawaambia nn wazenji waliomwaga damu harafu mkafunga ndoa? au hao wa cuf mlikubaliana wamwage damu nyie mkubaliane ndoa? chunga kauli zako zinakucheka mwenyewe hata hivyo kwa kauli zako ninawasiwasi na Ukigoma wako coz hatuko hvo!
 
Back
Top Bottom