kaka kwenye hiyo avatar yako huyo ni mchina au nyama kwa nyama?mama nkya kawaambia polizi waje na braz bend watuongoze....................kweli yule mama ni kichwa
kaka kwenye hiyo avatar yako huyo ni mchina au nyama kwa nyama?mama nkya kawaambia polizi waje na braz bend watuongoze....................kweli yule mama ni kichwa
Huu ni ujinga! Asasi za kiraia zilionesha mapema (kuliko jumuia za CCM) kusudio la kufanya maandamano nchi nzima tarehe 26 Novemba 2011. Hao wazushi wa CCM kwanini wafanye maandamano katika siku ambayo tayari kuna maandamano yenye malengo tofauti na yao? Hii ni dhahiri wana nia ya kuvuruga maandamano yaliyoitishwa na asasi za kiraia kwa upande mmoja, lakini pia nathubutu kusema kwamba ni jitihada za Dola kuvuruga upinzani kwa kisingizio cha kuwepo vikundi tofauti vya waandamanaji vyenye malengo tofauti na bla bla nyingi za uchache wa askari plus upuuzi wa al shabab! Nini maana ya maandamano ya amani? Polisi wana jukumu gani katika maandamano ya amani?
Hivi CDM au CUF wangepanga maandamano ya kupinga jambo ambalo CCM wametangulia kuonesha kusudio la kuliunga mkono pangetosha?
ALHAJI SAED MWEMA NI KWAMBA POLISI YETU NDIO INATUMIKA KI-SIASA AU SIASA ZETU NDIZO ZIMEGEUKA KI-POLISI???
Saed Mwema, pamoja na ule weledi wako ulioelezewa sana kutumikia Interpol na pengine kudaiwa kupata EXPOSURE KIMATAIFA wote kipolisi kweli ndio bado unaonyesha kiwango cha chini kiasi hiki kuhusu upolisi na ulinzi wa haki za binadamu kiasi hiki kwa jinsi unatumika kukandamiza sauti za Wa-Tanzania wenzako kiasi hiki kuliko hata enzi za Omar Mahita??
Ni kweli sasa hivi limeamua kutenda kwa makusudi kosa la jinaikukiuka haki ya raia KIKATIBA kuonyesha hisia zao KWA NJIA YA AMANI mpaka kuombwa kwenu KIBALI kinyume na maelekeza ya katiba inavyotuambia???
Are we becoming a Police State??
POLICCM bwana,hata huyu mwema mnamsifia kwa lipi alipokuwa huko interpol?kwangu mimi ni sehemu ya matatizo ya watanzania.maana kwa jambo hili ni dhahiri wamejitia aibu,maana kila mtu ameelewa jinsi wanavyotumika kuilinda CCM na mafisadi wake,na ndio maana nasema the whole system is rotten,na dawa ni Nguvu ya UMMA tu,sijui majadiliano sijui hoja na vingine vyote hakuna kitu tutakachopata kwa CCM hii na Polisi hawa wa Mwema.Ila nasubiri nisikie D.Kibamba atasema nini maana naona nae anatubipu najiuliza alienda kufanya nini walipomwita hao vilaza?na kulikuwa na hoja gani alizoridhika nazo?maana kusema tu ya kwamba kuna wengine wameomba kuandamana kwangu haitoshi kabisa ni kauli ya kumwambia mtoto wa miezi 6 hivi.SHAME ON THEM
nchi hii usalama ni ziro kabisa....