Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

Polisi inatumika vibaya sana na CCM,sasa wakae wakijua kwamba as the days going on if not soon Watanzania wachache waliobaki upande wa CCM nao watakua against CCM,so polisi wanaowabeba viongozi wa CCM watakua enemy wa watanzania,,ikija kutokea hayo itakuaje kwa Polisi?Waacheni watanzania wajiamulie mambo yao na si kuwaingilia.

tatizo sio polisi kutumiwa tuu bali ni uoga wa viongozi wanaohamasisha maandamano.. wenyewe wanaenda kuomba kibali badala ya ulinzi...kwani kama ni ma andamano ya amani wangeomba ambulance kwa ajili ya wenye presha na matatizo mengine polisi kazi yao ni kulinda watu wasiharibu mali za wengine sasa unapoomba kibali na ukiambiwa no unasepa unadhani kesho watakwambiaje? alshabab na tz wapi na wapi? nasisitiza viongozi waandalizi wa hayo maandamano ni waoga au hawana msimamo na wala tatizo sio polisi...kama maandamano yakiwa arusha ujue polisi wote wa ausha,moshi, tanga na manyara wanaenda kusaidia haya hayo maandamano ya nchi nzima wataweza wapi..? ni uoga wa nani aanze tuu..ila naamini mtu kama dr slaa akisema kwa dhati jamani ee twendeni liwalo na liwe polisi wakiua watu wa tano na watu wakawa bado na msimamo nakujitokeza zaidi polisi na hata majeshi yote mpaka ya magereza yatarudi nyumba...uhuru na haki havimfatagi mtu bali hutafutwa kwa jasho...tuache uoga sasa na tufanye tunachomaanisha
 
Kullikuwa na kikundi cha wanafiki wanaojiiita wanaharakati wakiunganisha taasisi nyingine zaidi ya 150 ndani yake ikiwamo TUCTA na TAMWA waliotaka kuandamana. Je wapo wapi leo?

Au ndio ilikuwa tisha toto.

Kumbukeni mtu mzima hatishiwi nyau.
 
Back
Top Bottom