Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,768
- 49,949
Maandamano yaliyotaka yafanywe na asasi zisizo za kiserikali kudai marekebisho ya mswada wa katiba yamekwaa kisiki kikuu cha alshababu, Mpaka nawasilisha nikuwa kutokana na Tishio la alshabab hakutakuwepo kwani ni gharama na kazi kubwa kuhakikisha usalama katika maandamano yao.
Atakaye andamana kukutana na nguvu ya dola.
Naomba kuwasilisha
My Take:
Mbona mkuu wa kaya alikaa na wazee
Hilo kila mmoja alilijua. Ni lazima polisi wangepiga marufuku, hawawezi kuruhusu maandamano nchi nzima. Kwani wanaharakati walitegemea yatapata kibali? Nitashangaa kama hayatafanyika eti kwa vile yamepigwa marufuku na polisi. Hivi Nyerere alivyokuwa akipigania uhuru wa nchi hii alikuwa akipewa kibali na polisi au serikali ya kikoloni? Maandamano yatakayokuwa na tija ni yale ambayo hayataruhusiwa na serikali. Maandamano yanayopewa kibali cha polisi huwa kama mchezo wa kuigiza lakini hayana impact yeyote.