Polisi Arusha wampiga risasi raia mmoja na kufa hapohapo

Polisi Arusha wampiga risasi raia mmoja na kufa hapohapo

mwechaga

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
334
Reaction score
57
Katka ule mwendelezo wa jeshi la polisi kujichukulia sheria mkononi na kuua raia hovyo, leo 2/7/2013 majira ya saa 3 asubui katika maeneo ya Ungalimited uswahilini polisi walifika katika nyumba moja nakumkuta kijana mmoja anae julikana kwa jina la Remblis na kumpiga risasi na kudai heti alikua ni mwizi.

Swali la kujiuliza kama kijana huyo alikua ni mwizi kwanini wasimkamate nakumfikisha mahakamani, je nisheria ipi inayo mruhusu polisi kumuu raia kwa sababu ya tuhuma za wizi?

Sasa naomba wale wapenda haki wote wa jiji la Arusha pamoja na Mh Lema kulifuatilia suala hili ili kujua ni kwanini polisi wameamua kuua raia kinyama.

MPAKA MUDA HUU MAITI YA KIJANA HUYO IKO KATKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI KTK HOSPITALI YA MT MERU.
 
POLENI WAFIWA JIJI LA ARUSHA LINATISHA KUISHI
Hii story inajirudia kwani inafanana na ya mwaka juzi, kijana mmoja alihujumiwa na POLISI hapohapo Arusha kwa kuhisiwa jambazi kumbe sio.
mwenye habari kamili atuwekee labda kuna walakini, si Haki kufanya mauaji MUNGU hapendi na mtoa Mada naona alikuwa na haraka kajiunga tu leo na kubandika Post yake hapa, Je upande wa pili kunani
 
Ipo siku haya yote ya serikali ya ccm yatakuwa historia
 
Inauma sana,sanaaa!! Hii mipolisi ndio maana inamaisha magumu kweli siipendi midudu hii bac tu.
 
Naona wanatimiza kauli ya Pinda,,, ndugu yangu mtoto wa mkulima damu ya Remblis itakuandama sana utakapokuwa jela ya The Hague
 
Kikwete ameshaamrisha polisi na jeshi kutesa na kuua wananchi unaambiwa mtwara vifaru vinazunguka mjini na wanajeshi wanatesha wananchi katika kambi ya naliendele na kubaka wengine
Arusha polisi wanashirikiana na CCM na Utawaala wa KIkwete kutaka kumuua mbowe na Lema na kuua wananchi wengine ,ukihesabu sasa hivi kila wiki kuna wananchi zaidi ya kumi wanauliwa na polisi peupe mbele ya macho wananchi,wakulaumiwa sio kikwete ni sisi wananchi tunao cheka naye akiuua watoto wa wenziwe wakati wa kwake wakijikatia migodi ya madini
 
Na lazima majambazi waongezeke A.town maana kuna post nimesoma eti vijana wamenyimwa kufanya mazoezi aina yeyote Viwanja vya SOWETO
 
wanatekeleza agizo la PINDA
katka ule mwendelezo wa
jesh la polis kujichukulia sheria mkononi na kuua raia hovyo, leo
2/7/2013 majira ya saa 3 asubui katika maeneo ya Ungalimited uswahilini
polisi walifika katika nyumba moja nakumkuta kijana mmoja anae julikana
kwa jina la Remblis na kumpga risas na kudai heti alikua ni mwizi, swali
lakujiuliza kama kijana huyo alikua ni mwizi kwanini wasimkamate
nakumfikisha mahakamani, je nisheria ipi inayo mruhusu polisi kumuu raia
kwa sababu ya tuhuma za wizi? Sasa naomba wale wapenda haki wote wa
jiji la Arusha pamoja na Mh Lema kulifuatilia suala hili ili kujua ni
kwanin polis wameamua kuua raia kinyama, MPAKA MUDA HUU MAITI YA KIJANA
HUYO IKO KATKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAIT KTK HOSPTL YA MT MERU.
 
Ni kweli Mungu hapendi kuua bali ccm inapenda kuua na ni kutimiza agizo la Pinda
POLENI WAFIWA JIJI LA ARUSHA
LINATISHA KUISHI
Hii story inajirudia kwani inafanana na ya mwaka juzi, kijana mmoja
alihujumiwa na POLISI hapohapo Arusha kwa kuhisiwa jambazi kumbe sio.
mwenye habari kamili atuwekee labda kuna walakini, si Haki kufanya
mauaji MUNGU hapendi na mtoa Mada naona alikuwa na haraka kajiunga tu
leo na kubandika Post yake hapa, Je upande wa pili kunani
 
We need to keep on fighting. Katikati yetu na mafanikio yetu ni fedha ya CCM ianayotumika kutugawa wanyonge na kutupamanisha.mpaka hapa tulipo tumepiga hatua kubwa sana CCM wametishika sasa wanatumia kete yao ya mwisho ya poliCCM kuua wat kwa risasi
 
Polisi wanatekeleza agizo la la waziri mkuu alililotoa Bungeni ,tumechoka mtu asilaumu polisi wakipiga
katka ule mwendelezo wa jesh la polis kujichukulia sheria mkononi na kuua raia hovyo, leo 2/7/2013 majira ya saa 3 asubui katika maeneo ya Ungalimited uswahilini polisi walifika katika nyumba moja nakumkuta kijana mmoja anae julikana kwa jina la Remblis na kumpga risas na kudai heti alikua ni mwizi, swali lakujiuliza kama kijana huyo alikua ni mwizi kwanini wasimkamate nakumfikisha mahakamani, je nisheria ipi inayo mruhusu polisi kumuu raia kwa sababu ya tuhuma za wizi? Sasa naomba wale wapenda haki wote wa jiji la Arusha pamoja na Mh Lema kulifuatilia suala hili ili kujua ni kwanin polis wameamua kuua raia kinyama, MPAKA MUDA HUU MAITI YA KIJANA HUYO IKO KATKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAIT KTK HOSPTL YA MT MERU.
 
Wanatekeleza maagizo ya kipumbavu toka kwa waziri mkuu mwenye mawazo ya kipumbavu. Pinda atakuwa ameagizwa na mganga wake amwage damu za watu wasio na hatia ndo maana akatoa maagizo ya kipumbavu kwa polisi kuua watu.
 
Ni lini jeshi letu la polis litaacha kuwafanyia unyama raia,kama wanaweza kuua mchana kweupe bila aibu wala woga,je,ni raia wangap wameuwawa kwa stail kama hii,hivi hii nchi haina watu wa haki za binadam?
 
katka ule mwendelezo wa jesh la polis kujichukulia sheria mkononi na kuua raia hovyo, leo 2/7/2013 majira ya saa 3 asubui katika maeneo ya Ungalimited uswahilini polisi walifika katika nyumba moja nakumkuta kijana mmoja anae julikana kwa jina la Remblis na kumpga risas na kudai heti alikua ni mwizi, swali lakujiuliza kama kijana huyo alikua ni mwizi kwanini wasimkamate nakumfikisha mahakamani, je nisheria ipi inayo mruhusu polisi kumuu raia kwa sababu ya tuhuma za wizi? Sasa naomba wale wapenda haki wote wa jiji la Arusha pamoja na Mh Lema kulifuatilia suala hili ili kujua ni kwanin polis wameamua kuua raia kinyama, MPAKA MUDA HUU MAITI YA KIJANA HUYO IKO KATKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAIT KTK HOSPTL YA MT MERU.
Humo nilimoweka red.
Kwanza umereport(umewasilisha)kishabiki pengine labda umehadithiwa.

Pia ni kweli kabisa maeneo ya unga limited ni makazi ya waharifu mpaka kule mitaa ya shule ya msingi sinoni.

Nilishawahi kunyang'anyway simu maeneo hayo.

Tukio la kupigwa risasi ni la police katika kujihami mara baada ya mtuhumiwa kutaka kupambana na police.

Alitakiwa kutii bila shuruti na siyo kuleta ubaunsa wake kwa kurusha ngumi na kisu kwa police.

Kwahiyo adhabu ya risasi ni kwamba haki imetendeka.
 
Du RIP Kijana na poleni sana wafiwa. Hata Obama hajafika kwake?? Kaazi kweli kweli.
 
Humo nilimoweka red.
Kwanza umereport(umewasilisha)kishabiki pengine labda umehadithiwa.

Pia ni kweli kabisa maeneo ya unga limited ni makazi ya waharifu mpaka kule mitaa ya shule ya msingi sinoni.

Nilishawahi kunyang'anyway simu maeneo hayo.

Tukio la kupigwa risasi ni la police katika kujihami mara baada ya mtuhumiwa kutaka kupambana na police.

Alitakiwa kutii bila shuruti na siyo kuleta ubaunsa wake kwa kurusha ngumi na kisu kwa police.

Kwahiyo adhabu ya risasi ni kwamba haki imetendeka.

Kaharishe ulale
 
Mandieta we binadamu wa kawaida? Mkiendelea kushabikia mauaji haya kwa usisemu wenu ujue si muda mlefu mtakuwa'interahamwe'.
 
Back
Top Bottom