Du RIP Kijana na poleni sana wafiwa. Hata Obama hajafika kwake?? Kaazi kweli kweli.
who is obama
Du RIP Kijana na poleni sana wafiwa. Hata Obama hajafika kwake?? Kaazi kweli kweli.
Umeshuhudia? Au unatiririka tu?
hii sio propaganda wala sio habar ya kisiasa ni habar ya kweli na inahusisha kupotea kwa uhai wa m2,leo kwamwenzio kesho kwako
Nilidhani nawe hautawakilisha kishabiki. Je una uhakika gani kua alieuawa ni jambazi, umejuaje kama mtuhumiwa alikua na slaha. Ni mara ngapi makosa ya aina hii yameshawahi kutokea na kubainika kua mtuhumiwa alikua innocent . Nimeshangazwa na hapo nilipobold. Je umejuaje kua haki imetendeka kwanini usiwe neutral maana hakuna uhakika kama je kweli taarifa hii ni ya kweli au la.Humo nilimoweka red.
Kwanza umereport(umewasilisha)kishabiki pengine labda umehadithiwa.
Pia ni kweli kabisa maeneo ya unga limited ni makazi ya waharifu mpaka kule mitaa ya shule ya msingi sinoni.
Nilishawahi kunyang'anyway simu maeneo hayo.
Tukio la kupigwa risasi ni la police katika kujihami mara baada ya mtuhumiwa kutaka kupambana na police.
Alitakiwa kutii bila shuruti na siyo kuleta ubaunsa wake kwa kurusha ngumi na kisu kwa police.
Kwahiyo adhabu ya risasi ni kwamba haki imetendeka.
katka ule mwendelezo wa jesh la polis kujichukulia sheria mkononi na kuua raia hovyo, leo 2/7/2013 majira ya saa 3 asubui katika maeneo ya Ungalimited uswahilini polisi walifika katika nyumba moja nakumkuta kijana mmoja anae julikana kwa jina la Remblis na kumpga risas na kudai heti alikua ni mwizi, swali lakujiuliza kama kijana huyo alikua ni mwizi kwanini wasimkamate nakumfikisha mahakamani, je nisheria ipi inayo mruhusu polisi kumuu raia kwa sababu ya tuhuma za wizi? Sasa naomba wale wapenda haki wote wa jiji la Arusha pamoja na Mh Lema kulifuatilia suala hili ili kujua ni kwanin polis wameamua kuua raia kinyama, MPAKA MUDA HUU MAITI YA KIJANA HUYO IKO KATKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAIT KTK HOSPTL YA MT MERU.
Una shida weweHumo nilimoweka red.
Kwanza use reported(umewasilisha)kishabiki pengine labda umehadithiwa.
Pia ni kweli kabisa maeneo ya unga limited ni makazi ya waharifu mpaka kule mitaa ya shule ya msingi sinoni.
Nilishawahi kunyang'anyway simu maeneo hayo.
Tukio la kupigwa risasi ni la police katika kujihami mara baada ya mtuhumiwa kutaka kupambana na police.
Alitakiwa kutii bila shuruti na siyo kuleta ubaunsa wake kwa kurusha ngumi na kisu kwa police.
Kwahiyo adhabu ya risasi ni kwamba haki imetendeka.
Safi sana polisi kama ni mwizi hakuna msamaha ukiona unatetea mwizi na wewe ni mwizi.
wananchi tunaoishi Arusha tutapata nafuu kidogo baada ya uchaguzi wa tarehe 14/7/2013 tena kama madiwani wote watachaguliwa kutoka chadema na nafuu kwa watanzania wote ni mwaka 2015 kama chadema kitaongoza serikali vinginevyo tutaendelea kuteseka ingawa kwa sasa hivi utakuja kusikia kwamba Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kwa utajiri Africakatka ule mwendelezo wa jesh la polis kujichukulia sheria mkononi na kuua raia hovyo, leo 2/7/2013 majira ya saa 3 asubui katika maeneo ya Ungalimited uswahilini polisi walifika katika nyumba moja nakumkuta kijana mmoja anae julikana kwa jina la Remblis na kumpga risas na kudai heti alikua ni mwizi, swali lakujiuliza kama kijana huyo alikua ni mwizi kwanini wasimkamate nakumfikisha mahakamani, je nisheria ipi inayo mruhusu polisi kumuu raia kwa sababu ya tuhuma za wizi? Sasa naomba wale wapenda haki wote wa jiji la Arusha pamoja na Mh Lema kulifuatilia suala hili ili kujua ni kwanin polis wameamua kuua raia kinyama, MPAKA MUDA HUU MAITI YA KIJANA HUYO IKO KATKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAIT KTK HOSPTL YA MT MERU.
Humo nilimoweka red.
Kwanza umereport(umewasilisha)kishabiki pengine labda umehadithiwa.
Pia ni kweli kabisa maeneo ya unga limited ni makazi ya waharifu mpaka kule mitaa ya shule ya msingi sinoni.
Nilishawahi kunyang'anyway simu maeneo hayo.
Tukio la kupigwa risasi ni la police katika kujihami mara baada ya mtuhumiwa kutaka kupambana na police.
Alitakiwa kutii bila shuruti na siyo kuleta ubaunsa wake kwa kurusha ngumi na kisu kwa police.
Kwahiyo adhabu ya risasi ni kwamba haki imetendeka.
Humo nilimoweka red.
Kwanza umereport(umewasilisha)kishabiki pengine labda umehadithiwa.
Pia ni kweli kabisa maeneo ya unga limited ni makazi ya waharifu mpaka kule mitaa ya shule ya msingi sinoni.
Nilishawahi kunyang'anyway simu maeneo hayo.
Tukio la kupigwa risasi ni la police katika kujihami mara baada ya mtuhumiwa kutaka kupambana na police.
Alitakiwa kutii bila shuruti na siyo kuleta ubaunsa wake kwa kurusha ngumi na kisu kwa police.
Kwahiyo adhabu ya risasi ni kwamba haki imetendeka.
UNASEMA Adhabu ya RISASI ni HAKI IMETENDEKA.Na kwa MUNGU aliyemuumba uyo aliyepigwa RISASI ukaseme hivihivi.Ila uwezi kuondoa Dhambi ya uuaji kwa uyo polisi.na Kitabu cha Kumbukumbu Mbinguni kimeshaandika kuwa uyo polisi ameua na asipotubu na kuacha ni MOTO WA JEHANAMU.imetupasa Tumtii MUNGU.Humo nilimoweka red.
Kwanza umereport(umewasilisha)kishabiki pengine labda umehadithiwa.
Pia ni kweli kabisa maeneo ya unga limited ni makazi ya waharifu mpaka kule mitaa ya shule ya msingi sinoni.
Nilishawahi kunyang'anyway simu maeneo hayo.
Tukio la kupigwa risasi ni la police katika kujihami mara baada ya mtuhumiwa kutaka kupambana na police.
Alitakiwa kutii bila shuruti na siyo kuleta ubaunsa wake kwa kurusha ngumi na kisu kwa police.
Kwahiyo adhabu ya risasi ni kwamba haki imetendeka.
Mandieta we binadamu wa kawaida? Mkiendelea kushabikia mauaji haya kwa usisemu wenu ujue si muda mlefu mtakuwa'interahamwe'.