Polisi Arusha wampiga risasi raia mmoja na kufa hapohapo

Polisi Arusha wampiga risasi raia mmoja na kufa hapohapo

Katka ule mwendelezo wa
jeshi la polisi kujichukulia sheria mkononi na kuua raia hovyo, leo
2/7/2013 majira ya saa 3 asubui katika maeneo ya Ungalimited uswahilini
polisi walifika katika nyumba moja nakumkuta kijana mmoja anae julikana
kwa jina la Remblis na kumpiga risasi na kudai heti alikua ni mwizi.

Swali la kujiuliza kama kijana huyo alikua ni mwizi kwanini wasimkamate
nakumfikisha mahakamani, je nisheria ipi inayo mruhusu polisi kumuu raia
kwa sababu ya tuhuma za wizi?

Sasa naomba wale wapenda haki wote wa jiji la Arusha pamoja na Mh Lema
kulifuatilia suala hili ili kujua ni kwanini polisi wameamua kuua raia
kinyama.

MPAKA MUDA HUU MAITI YA KIJANA HUYO IKO KATKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA
MAITI KTK HOSPITALI YA MT MERU.

pengine alikua na silaha na katika kujibizana akawahiwa. tusubiri taarifa za upande mwingine.
 
aiseeeeee babayangu kuitwa mshitakiwa aina maana kwamba umetenda kosa mapaka pale mahakama itakapodhibitisha umetenda kosa
inaniuma sana ila hakuna lenye mwanza lisikose mwisho yataisha
 
Humo nilimoweka red.
Kwanza umereport(umewasilisha)kishabiki pengine labda umehadithiwa.

Pia ni kweli kabisa maeneo ya unga limited ni makazi ya waharifu mpaka kule mitaa ya shule ya msingi sinoni.

Nilishawahi kunyang'anyway simu maeneo hayo.

Tukio la kupigwa risasi ni la police katika kujihami mara baada ya mtuhumiwa kutaka kupambana na police.

Alitakiwa kutii bila shuruti na siyo kuleta ubaunsa wake kwa kurusha ngumi na kisu kwa police.

Kwahiyo adhabu ya risasi ni kwamba haki imetendeka.

Kwenye Red nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani, Ila kwenye Blue Adhabu ya Risasi ipo katika katiba ipi? ya Tz au Pakistan? Tangu lini risasi imekuwa haki au kipimo cha haki? kama ni hivyo vituo vya polisi ni mapambo?
 
Back
Top Bottom