Polisi Arusha wampiga risasi raia mmoja na kufa hapohapo

Polisi Arusha wampiga risasi raia mmoja na kufa hapohapo

Najua hata mh lema huwaga anasomaga hiz post namuomba alifuatilie suala hili kwa ukaribu maana raia wanao malizwa na polis niwapga kura wake,namuomba kesho aende pale mochwali afuatilie swala hili
 
Wanatekeleza maneno ya naibu waziri wa mambo ya ndani aliyosema bunge lililopita.
 
Pols acha kuua raia eti n mwizi. Utapataje mtandao na kuuthibiti ikiwa mnaua mwizi badala ya kumkamata ili afichue siri?
 
Humo nilimoweka red.
Kwanza umereport(umewasilisha)kishabiki pengine labda umehadithiwa.

Pia ni kweli kabisa maeneo ya unga limited ni makazi ya waharifu mpaka kule mitaa ya shule ya msingi sinoni.

Nilishawahi kunyang'anyway simu maeneo hayo.

Tukio la kupigwa risasi ni la police katika kujihami mara baada ya mtuhumiwa kutaka kupambana na police.

Alitakiwa kutii bila shuruti na siyo kuleta ubaunsa wake kwa kurusha ngumi na kisu kwa police.

Kwahiyo adhabu ya risasi ni kwamba haki imetendeka.

Kibaka anayepora cm na fisadi anayepora raslmali za taifa na kuhujumu wananchi ni yupi anayestahil shaba???
 
Alikuwa hana bunduki wala silaha iweje apigwe risasi?
Humo nilimoweka red.
Kwanza umereport(umewasilisha)kishabiki pengine labda umehadithiwa.

Pia ni kweli kabisa maeneo ya unga limited ni makazi ya waharifu mpaka kule mitaa ya shule ya msingi sinoni.

Nilishawahi kunyang'anyway simu maeneo hayo.

Tukio la kupigwa risasi ni la police katika kujihami mara baada ya mtuhumiwa kutaka kupambana na police.

Alitakiwa kutii bila shuruti na siyo kuleta ubaunsa wake kwa kurusha ngumi na kisu kwa police.

Kwahiyo adhabu ya risasi ni kwamba haki imetendeka.
 
Humo nilimoweka red.
Kwanza umereport(umewasilisha)kishabiki pengine labda umehadithiwa.

Pia ni kweli kabisa maeneo ya unga limited ni makazi ya waharifu mpaka kule mitaa ya shule ya msingi sinoni.

Nilishawahi kunyang'anyway simu maeneo hayo.

Tukio la kupigwa risasi ni la police katika kujihami mara baada ya mtuhumiwa kutaka kupambana na police.

Alitakiwa kutii bila shuruti na siyo kuleta ubaunsa wake kwa kurusha ngumi na kisu kwa police.

Kwahiyo adhabu ya risasi ni kwamba haki imetendeka.

Natamani wengi wasome hii thread yako.. Wengi wamejaa unafiki wa kuafiki taarifa kama hzi bila kujua chanzo ni nini!! Kama kweli wanahisi wameonewa wakafungue mashtaka.. Sijaelewa kwanini wanatumia nguvu kubwa kujenga uhasama kati ya raia na police wakati wakijua kama wakichukua dola, kam tu wakichukua dola hao hao ndo watakuwa wanatimiza wajibu husika
 
Nikikuta nyoka anapambana na polisi, namsaidia nyoka....Source: member wa JF.
 
Poleni wafiwa, hii ni moja ya athari za maagizo ya waziri Mkuu!
 
katka ule mwendelezo wa jesh la polis kujichukulia sheria mkononi na kuua raia hovyo, leo 2/7/2013 majira ya saa 3 asubui katika maeneo ya Ungalimited uswahilini polisi walifika katika nyumba moja nakumkuta kijana mmoja anae julikana kwa jina la Remblis na kumpga risas na kudai heti alikua ni mwizi, swali lakujiuliza kama kijana huyo alikua ni mwizi kwanini wasimkamate nakumfikisha mahakamani, je nisheria ipi inayo mruhusu polisi kumuu raia kwa sababu ya tuhuma za wizi? Sasa naomba wale wapenda haki wote wa jiji la Arusha pamoja na Mh Lema kulifuatilia suala hili ili kujua ni kwanin polis wameamua kuua raia kinyama, MPAKA MUDA HUU MAITI YA KIJANA HUYO IKO KATKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAIT KTK HOSPTL YA MT MERU.

Pinda alisema wapigwe tu. Tatizo ni kuwa hakusema kiasi cha kipigo! Kwa maana nyingine ni sheria ya Pinda
 
Kikwete ameshaamrisha polisi na jeshi kutesa na kuua wananchi unaambiwa mtwara vifaru vinazunguka mjini na wanajeshi wanatesha wananchi katika kambi ya naliendele na kubaka wengine
Arusha polisi wanashirikiana na CCM na Utawaala wa KIkwete kutaka kumuua mbowe na Lema na kuua wananchi wengine ,ukihesabu sasa hivi kila wiki kuna wananchi zaidi ya kumi wanauliwa na polisi peupe mbele ya macho wananchi,wakulaumiwa sio kikwete ni sisi wananchi tunao cheka naye akiuua watoto wa wenziwe wakati wa kwake wakijikatia migodi ya madini

Jitihada zako za kutafuta ukatibu uenezi wa BAVICHA wilaya zimeonekana, kwa hali hii ya kujaza mpaka uongo humu JF inabidi wakupe tu cheo.
 
ngoja haki hiyo itendeke kwa ndugu yako ndoo utajua maana yake. Utii bila shuruti ni kwa pande zoteeee!
 
Wanatekeleza maagizo ya kipumbavu toka kwa waziri mkuu mwenye mawazo ya kipumbavu. Pinda atakuwa ameagizwa na mganga wake amwage damu za watu wasio na hatia ndo maana akatoa maagizo ya kipumbavu kwa polisi kuua watu.

Alisema mkaidi apigwe sio auawe. Mkamate muuaji.
 
Ni lini jeshi letu la polis litaacha kuwafanyia unyama raia,kama wanaweza kuua mchana kweupe bila aibu wala woga,je,ni raia wangap wameuwawa kwa stail kama hii,hivi hii nchi haina watu wa haki za binadam?

Umeshuhudia? Au unatiririka tu?
 
Back
Top Bottom