Police Central (Dar) inaungua mida hii

Police Central (Dar) inaungua mida hii

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,028
Reaction score
59,657
Source JF
Ni police iliyopo hapa opposite na stesheni.
More news to come
.......
Wala cyo ofcn kwenye mafaili. Ni kule nyuma ya trafic police tena kwenye residential hse za askari. Kwa hbr za hv punde askari wenyewe wameshauzima.
 
Tafadhali elezea vizuri mkuu, police central ya wapi? Maana police central hapa Tanzania ni nyingi!
 
Huu mwendelezo wa ajali za moto mwezi huu unanishangaza: Jengo la PPF Tower huko Dar, Meli ya MV Victoria huko Mwanza, Central Police Dar, next??? Lakini kwa nini hatuwi na mikakati endelevu ya kuzuia majanga kama haya?
 
hawa hawachelewi kuchoma kusudi kupoteza nyaraka fulani muhimu sina imani nao kabisa
 
Teh teh teh1isije ikawa watu wanataka kupoteza ushahidi fulani!
 
Source JF
Ni police iliyopo hapa opposite na stesheni.
More news to come

hivi sasa mazimwi yameibuka - zimwi la mauaji ya kidini, zimwi la mioto, zimwi la ujambazi!
sensors za serikali sikivu ya ccm hazinasi taarifa za kiintelijensia! kazi ipo!
 
Back
Top Bottom