Police Central (Dar) inaungua mida hii

Police Central (Dar) inaungua mida hii

Unadhani kuna mkakati wa kuzuia moto au wa kupambana na moto unapozuka? kama ni hivyo huko USA na ulaya kusingekuwa na moto kuunguza majumba na mistu kila mwaka. Tupe basi huo mkakati ulionao badala ya kusubiri wengine ndo wakupe kila siku Mama Mdogo
 
Last edited by a moderator:
Huu mwendelezo wa ajali za moto mwezi huu unanishangaza: Jengo la PPF Tower huko Dar, Meli ya MV Victoria huko Mwanza, Central Police Dar, next??? Lakini kwa nini hatuwi na mikakati endelevu ya kuzuia majanga kama haya?

Let us see what is next.
 
Back
Top Bottom