Police Central (Dar) inaungua mida hii

Police Central (Dar) inaungua mida hii

Mahabusu na watuhumiwa wako salama kweli au ndo wameisha teketea?
 
Kuna watu wanaihujumu hii nchi huku wengine wanashabikia kwa maslahi ya kisiasa.Any way.Mwanadamu kaumbiwa njia mbili.Ana hiari ya kufuata njia ya heri au ya shari kwa kuwa zote ziko wazi na mwisho wake unafahamika vyema.
 
hakuna moto jamani mimi nashinda full time sokoine drive !leo sijaona gari yeyote ya fire! ata nikichungulia nje naona shughuli za polisi zinaendelea!
naomba moderator ushughulikie watu wanaoleta habari za uzushi hapa jf!
 
Tanzania yetu kila uzembe unawezekana na unakubalika tusubiri tusikie taarifa zaidi.
 
Source JF
Ni police iliyopo hapa opposite na stesheni.
More news to come

hakuna moto jamani mimi nashinda full time sokoine drive !leo sijaona gari yeyote ya fire! ata nikichungulia nje naona shughuli za polisi zinaendelea!
naomba moderator ushughulikie watu wanaoleta habari za uzushi hapa jf!

Mods naomba sheria ifuate mkondo wake kwa yeyote atakayegundulika amekiuka sheria, either huyo wa mwanzo au anayefuatia mmojawapo amekosa busara
 
Du mi nipo maeneo haya nakata ticket ya treni ya ubungo hamna moto wowote!
 
Kitu kizito kitakuwa kimerushwa hapo.
 
acha uongo wewe kaka! mbona nimetoka luch police central canteen 15 minutes! sikuona moto wowote
Na wewe unakula sehemu za ovyo namna hiyo kwa ajili ya kupokelea rushwa za mafili na madawa ya kulevya?.Wewe lazima ni jambazi ,mla rushwa mwandamizi.Kanteeni nyingi za polisi ni vijiwe vya kugawana rushwa kutoka kwa watuhumiwa wa uhalifu.
 
Nimempigia mmoja wa wanaofanya kazi hapo amekanusha. Hii imekaaje?
 
Kuna watu wenye Ndevu na suruali fupi fupi.....labda wamechukia kuzuiwa kutochinja....
 
Back
Top Bottom