Police Central (Dar) inaungua mida hii

Police Central (Dar) inaungua mida hii

Source JF
Ni police iliyopo hapa opposite na stesheni.
More news to come

Wanatakiwa wakachome pia ofisi ya yule kichwa makamasi DPP, ili wapate vizuri justifications za kumaliza kesi zao za kisanii...
 
Mkuu nina wasiwasi utakuwa ndio UTINGO wa treni la MWAKYEMBE hapo Stesheni, maana umeongea kwa uhakika mno...

hakuna moto jamani mimi nashinda full time sokoine drive !leo sijaona gari yeyote ya fire! ata nikichungulia nje naona shughuli za polisi zinaendelea!
naomba moderator ushughulikie watu wanaoleta habari za uzushi hapa jf!
 
Ile 150 M file linatakiwa kuwa msimbazi wasituchezee akili kuwa lilipelekwa central kwa uchunguzi zaidi na limeungua
 
Wala cyo ofcn kwenye mafaili. Ni kule nyuma ya trafic police tena kwenye residential hse za askari. Kwa hbr za hv punde askari wenyewe wameshauzima.
 
Wala cyo ofcn kwenye mafaili. Ni kule nyuma ya trafic police tena kwenye residential hse za askari. Kwa hbr za hv punde askari wenyewe wameshauzima.

Asante sanaa biro manakee kuna wahuni happa walikuwa wananiita muongo
 
Kile ndio kijiwe changu haswa baada ya kupigwa jua na nikitaka kujua mustakabali wa nchi unaendaje huwa nakutana na wazee wa favor pale kijiweni...

Kumbe na wewe ni mteja pale..Hadi jina unalijua
 
Watuhumiwa walioko lock up watasepa, na inawezekana ni wachoma bangi lock up
 
Huu mwendelezo wa ajali za moto mwezi huu unanishangaza: Jengo la PPF Tower huko Dar, Meli ya MV Victoria huko Mwanza, Central Police Dar, next??? Lakini kwa nini hatuwi na mikakati endelevu ya kuzuia majanga kama haya?

Lile jengo jeupe lilojengwa na wajerumani pale Magogoni
 
Back
Top Bottom