Haijalisha Mange ni mtu wa aina gani, taarifa ni taarifa. Hata kama ni Mange anatupeleka maboya bado taarifa yake inaweza kutumika kama ~true (not true) value, katika mchakato wa kutengeneza truth table yetu.Asilimia kubwa ya watu waliopo mitandaoni ni mazombi wanaendeshwa akili kwa remote kama marobota. Hawafikilii hawajuliulizi imani zao wameweka kwa mange kimambi n.k kwani huyo mange kimambi hanunuliki ilikutoa habari za uongo. HUU NI MCHONGO SHITUKENI
Mafwele tunamchekea sana yaan jamaa anapewa hype sana kutesa na kuua na anajulikana why bado anaishi?
Kwahy tumuamini yupo britcHilo gari lilikuwa na watu ndani na walionekana kuwa ni polepole na mafwele au kama kawa mwendo wa kufanywa wajinga tu na huyo mange wenu?!!!
Ostadhi Hassan Ali shahidi wa Mtume na Uislamu umepatwa na nini Shekhe?
Je pole pole anaweza kushikwa hivyo kama inavyosemekana?Haijalisha Mange ni mtu wa aina gani, taarifa ni taarifa. Hata kama ni Mange anatupeleka maboya bado inaweza kutukia kama ~true (not true) value, katika mchakato wa kutengeneza truth table yetu.
Wasengesenge km nyinyi hua nawaingiza ignore list mazafaka ingia humoAsilimia kubwa ya watu waliopo mitandaoni ni mazombi wanaendeshwa akili kwa remote kama marobota. Hawafikilii hawajuliulizi imani zao wameweka kwa mange kimambi n.k kwani huyo mange kimambi hanunuliki ilikutoa habari za uongo. HUU NI MCHONGO SHITUKENI
Safi sanaAsilimia kubwa ya watu waliopo mitandaoni ni mazombi wanaendeshwa akili kwa remote kama marobota. Hawafikilii hawajuliulizi imani zao wameweka kwa mange kimambi n.k kwani huyo mange kimambi hanunuliki ilikutoa habari za uongo. HUU NI MCHONGO SHITUKENI
Hayupo Mabwepande kalishwa matango pori.Ndiyo, nenda.
Mimi sikuwepo eneo la tukio, chochote kinawezekana.Je pole pole anaweza kushikwa hivyo kama inavyosemekana?
Na wewe ndio walewale kumbe basi ingia ignore list ukakutane na wenzioHayupo Mabwepande kalishwa matango pori.
Mimi sikuwepo eneo la tukio, chochote kinawezekana.
Wanataka wamuue wamtupe hukohukoMtwara ili iweeje mkuu?
Aisee hii andika andika hawa jamaa wametuzoea inatakiwa kesho wanatuona milangoni mwao kama kutuuwa watuue ila sijui nini haiana maana wameamua uhuni tuishi nao kihuni watatuzoea hawa watu nawambia nikuamka pale nao kuwa tunamataka polepole over hizi andika andika zifike mwisho tukipata tarifa na ipo confirmed nikuagiza watu walinde mazingira na kuambiana jamani twendeni overHadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality.
Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii
Watajuta
Kuanzia Mafwele, IGP na Muhuni Samia
Britanicca
Mbona siku nzima hajajitokeza kukanusha?Pole pole HAJATEKWA
Kwenye hivi vyombo, wote hasa wenye vyeo wamepewa kwa kujuana, kwahiyo usitegemeevyombo vyetu hasa jwtz na tiss mpo kimya kama mateka sio bure mnatukosea sana.
Huyo NI Mpwayungu VillageNyie ndio wale matomaso, sasa picha ushaziona kwa Mange kwa bri unataka akupe picha gani??
Mambo mengine muwe mnakausha kuficha ujinga uliopo kichwani mwako..