Suala la kumtegemea Mungu katika kupambana na corona hakuepukiki. Ni ujinga na kiburi cha mwanadamu kudhani kwamba kila tatizo lipo ndani ya uwezo wa mwanadamu kusolve.Waliokufa Kwa Corona waliotumia hizi mbinu za Kienyeji tunasemaje. Dada yangu alijufukiza, akala Nimcaf yet she died from Corona. RIP my sister. Hapa Tz tuseme tuu kuna Nguvu ya Mungu tusioielewa.
Kabisa mkuu, chadema ni watu wa ajabu sanaSuala la kumtegemea Mungu katika kupambana na corona hakuepukiki. Ni ujinga na kiburi cha mwanadamu kudhani kwamba kila tatizo lipo ndani ya uwezo wa mwanadamu kusolve. Mkuu wetu wa nchi awamu ya tano alilielewa hilo na neema ya Mungu ilitufunika na imeendelea kutufunika hadi leo hii. Wasiomwamini Mungu wapuuze tu, lakini kwetu sisi acha Mungu aitwe Mungu.
Na waliotumia njia za kisasa na bado wamekufa kuliko sisi nao tusemeje?Waliokufa Kwa Corona waliotumia hizi mbinu za Kienyeji tunasemaje. Dada yangu alijufukiza, akala Nimcaf yet she died from Corona. RIP my sister. Hapa Tz tuseme tuu kuna Nguvu ya Mungu tusioielewa.
Anamhoji sabaya 😄Eti anahoji, anamuhoji nani?
Hawa pro meko wasipewe platformKatibu mwenezi msitaafu wa ccm na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii?
Bwana Polepole ametolea mfano wa nchi zote zilizojaribu kupambana na Corona kwa kufuata mfumo wa kimagharibi mwishoni wa mwaka 2020 ziliishia kupata ukuaji hasi wa uchumi kwenye nchi zao!
Polepole amesema ni Tanzania tu ndiyo iliyopata ukuaji wa uchumi chanya kwenye nchi zote za Afrika mashariki. Sasa kwa nini sisi watanzania tunaona aibu kujivunia hizo mbinu za asili? Amehoji mh Polepole.
Mwaka jana tulipambana na Corona kwa kutumia njia tatu.
1. Kumtanguliza Mungu mbele
2. Kufuata mbinu mbalimbali tunazoshauliwa na watalaamu wetu
3.Kuchapa kazi kwa bidii
Hizo chanjo zina masumu ya muda mfupi na muda mrefu.Na waliotumia njia za kisasa na bado wamekufa kuliko sisi nao tusemeje?
Si uifuate tu hiyo chanjo kama Mbowe alivyofanya?