Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.
Chanzo: Eatv
My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini
Maendeleo hayana vyama!
Yaani katika mambo mtakayodharauliwa kusema lissu sio raia.watanzania wote tunajua ni maziwa wa mahambe ikungi.Kwani Lisu SI NI raia was Belgium
Hivi upikuwa hijui
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nadhani hapa yeye ndio amiri jeshi anatoa maagizo nilitegemea angeiomba serekali ndio yenye jukumu lakuagiza kitengo kutoa kauli kwakitengo moja kwamoja nikuamrisha wanasheria niwekeni sawa. ila hata yeye nikimuangalia kama muafrica kusini vile hoja hizo zimepitwa ubaguzi sasa basiKomredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.
Chanzo: Eatv
My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini
Maendeleo hayana vyama!
Acha ujinga Nyerere na Mkapa mlisema sio raia mnajikita kwenye Ancestors.mmekosa sera kuna siku mtasema Wasukuma ni Wacameroun kwa sababu asili yao ni Cameroun hii propaganda ilishabuma tuko radhi kumpa hata Mnyarwanda lkn sio walaghai kutoka Chadema.Mwenyekiti wa CCM uraia wake una mashaka sana. Vip uhamiaji waanze naye?
Haahaa yaani mtu azaliwe singida Leo aambiwe sio raia kisa kugombea urais,? You are not serious man.Mbona unaonyesha woga sana mkuu,
Acha watu wafanye kazi yao.
Isijekuwa tu Lisu kaficha the fact kwamba amebadili Uraia.
Ikibainika habari take inaishia hapo.
Anarudi kwao Belgium.
Swala la uraia lisitumike kisiasa.uraia ni haki ya kila mtu.tofauti za kisiasa zisitugawe.sisi wote ni watanzania.jk kasema vizuri sana mbagala janaAcha ujinga Nyerere na Mkapa mlisema sio raia mnajikita kwenye Ancestors.mmekosa sera kuna siku mtasema Wasukuma ni Wacameroun kwa sababu asili yao ni Cameroun hii propaganda ilishabuma tuko radhi kumpa hata Mnyarwanda lkn sio walaghai kutoka Chadema.
Ni jambo baya sana kubagua raia wenzio kisa wamekukosoa.Sisi sote watanzania.Tusibaguane kisa vyama ni hatariCCM bana yaani stori zao ni zile zile tu, ndio maana kinakosa ushawishi,
Kila mtu anayewakosoa, sio raia
Tusifike huko, tukianza kufukuana hapa hakuna atakayeonekana ni mtanzania halisi
Pumba tu, chama kinawafia.Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.
Chanzo: Eatv
My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini
Maendeleo hayana vyama!
JiweYeye nani?
Pole pole anzia humo ndani mwako ulimo ndipo utoke nje.Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.
Chanzo: Eatv
My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini
Maendeleo hayana vyama!
Acha ujinga Nyerere na Mkapa mlisema sio raia mnajikita kwenye Ancestors.mmekosa sera kuna siku mtasema Wasukuma ni Wacameroun kwa sababu asili yao ni Cameroun hii propaganda ilishabuma tuko radhi kumpa hata Mnyarwanda lkn sio walaghai kutoka Chadema.
Ficha upumbavu wako. Mkapa ndiye muassisi wa kudai wengine sio raia kiasi cha kuwanyan'ganya uraia. Na huyu mwanafunzi wake anatembelea humo humo kwenye huo uwendawazimu. Awamu hii watu kibao wamechunguzwa uraia na uhamiaji. Yeye magufuli uraia wake umewahi kuchunguzwa!? Au yeye hatokei kule mipakani? Anavyo vielelezo kuwa hana asili ya huko Rwanda/Burundi ?Acha ujinga Nyerere na Mkapa mlisema sio raia mnajikita kwenye Ancestors.mmekosa sera kuna siku mtasema Wasukuma ni Wacameroun kwa sababu asili yao ni Cameroun hii propaganda ilishabuma tuko radhi kumpa hata Mnyarwanda lkn sio walaghai kutoka Chadema.
Anavyo ndo maana tumempa Urais.Nyie ni TISS ?mpaka amepewa Urais Akili kubwa imejiridhisha yy ni raia halisi wa Tanzania huu ndo mchango wangu wa mwisho kwenye hili jambo la uraia, ila nakuasa Let us celebrate our dissimilarities.Ficha upumbavu wako. Mkapa ndiye muassisi wa kudai wengine sio raia kiasi cha kuwanyan'ganya uraia. Na huyu mwanafunzi wake anatembelea humo humo kwenye huo uwendawazimu. Awamu hii watu kibao wamechunguzwa uraia na uhamiaji. Yeye magufuli uraia wake umewahi kuchunguzwa!? Au yeye hatokei kule mipakani? Anavyo vielelezo kuwa hana asili ya huko Rwanda/Burundi ?
Je hao ambao pole pole anataka wachunguzwe na uhamiaji ana uhakika siyo raia wa Tanzania? Vyeti vya kuzaliwa vya hao watu anavyo yeye polepole, mwambieni afanye kampeni za kisasa siyo kupayuka payuka tu kwenye vyombo vya habari kila siku press conference zinamsaidia nini analeta uongo uongo tu ambao unazidi kumshusha kiheshima hata kuharibu chama. Kampeni hizi ni ngumu anatakiwa aone atamalizaje siyo kuleta hoja dhaifu dhaifu kwenye vyombo vya habari.Anavyo ndo maana tumempa Urais.Nyie ni TISS ?mpaka amepewa Urais Akili kubwa imejiridhisha yy ni raia halisi wa Tanzania huu ndo mchango wangu wa mwisho kwenye hili jambo la uraia, ila nakuasa Let us celebrate our dissimilarities.
Hapa lazima uwe na Oxford hasa sie WA Kayumba.πππNOT QUITE SURPRISED!
... JUST HOW SLUGS BEHAVE WHEN THE ODDS ARE EVEN!
BTW: I LOATHE THE SLIME TRACKS THIS ONE IS LEAVING AROUND!
π
π βοΈβοΈβοΈ