Polepole: Uhamiaji fuatilieni uraia, kuna baadhi ya watu si wenzetu!

Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Screenshot_20201018-052642.png
 
Ila Polepole ni liability mbaya SANA, kwa mwenyekiti! Angejua Mkiti angejiweka karibu na wale CCM damu, siyo MATAGA, or CCM mpya sijui, hawajasoma hata kanuni 1 ya uanaCCM, wanakopi tu na kupesti!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Huko ni kukosa Sera, kwani uhamiaji wako wakati wa uchaguzi tu? Kutumia uhamiaji kama kinga ya kisiasa sio sawa.
 
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Nadhani hapa yeye ndio amiri jeshi anatoa maagizo nilitegemea angeiomba serekali ndio yenye jukumu lakuagiza kitengo kutoa kauli kwakitengo moja kwamoja nikuamrisha wanasheria niwekeni sawa. ila hata yeye nikimuangalia kama muafrica kusini vile hoja hizo zimepitwa ubaguzi sasa basi
Nchi hii bana ukiwa katibu wa chama kilicho madarakani unakuwa amiri jeshi vituko vitaisha lini au ndotumeanza kumpunguzia rais madaraka bila kurekebisha katiba kwanza?
 
Mwenyekiti wa CCM uraia wake una mashaka sana. Vip uhamiaji waanze naye?
Acha ujinga Nyerere na Mkapa mlisema sio raia mnajikita kwenye Ancestors.mmekosa sera kuna siku mtasema Wasukuma ni Wacameroun kwa sababu asili yao ni Cameroun hii propaganda ilishabuma tuko radhi kumpa hata Mnyarwanda lkn sio walaghai kutoka Chadema.
 
Mbona unaonyesha woga sana mkuu,

Acha watu wafanye kazi yao.

Isijekuwa tu Lisu kaficha the fact kwamba amebadili Uraia.

Ikibainika habari take inaishia hapo.

Anarudi kwao Belgium.
Haahaa yaani mtu azaliwe singida Leo aambiwe sio raia kisa kugombea urais,? You are not serious man.
 
Acha ujinga Nyerere na Mkapa mlisema sio raia mnajikita kwenye Ancestors.mmekosa sera kuna siku mtasema Wasukuma ni Wacameroun kwa sababu asili yao ni Cameroun hii propaganda ilishabuma tuko radhi kumpa hata Mnyarwanda lkn sio walaghai kutoka Chadema.
Swala la uraia lisitumike kisiasa.uraia ni haki ya kila mtu.tofauti za kisiasa zisitugawe.sisi wote ni watanzania.jk kasema vizuri sana mbagala jana
 
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Pumba tu, chama kinawafia.
Ccm imekataliwa duniani na mbinguni
 
Acha ujinga Nyerere na Mkapa mlisema sio raia mnajikita kwenye Ancestors.mmekosa sera kuna siku mtasema Wasukuma ni Wacameroun kwa sababu asili yao ni Cameroun hii propaganda ilishabuma tuko radhi kumpa hata Mnyarwanda lkn sio walaghai kutoka Chadema.

Acha ujinga Nyerere na Mkapa mlisema sio raia mnajikita kwenye Ancestors.mmekosa sera kuna siku mtasema Wasukuma ni Wacameroun kwa sababu asili yao ni Cameroun hii propaganda ilishabuma tuko radhi kumpa hata Mnyarwanda lkn sio walaghai kutoka Chadema.
Ficha upumbavu wako. Mkapa ndiye muassisi wa kudai wengine sio raia kiasi cha kuwanyan'ganya uraia. Na huyu mwanafunzi wake anatembelea humo humo kwenye huo uwendawazimu. Awamu hii watu kibao wamechunguzwa uraia na uhamiaji. Yeye magufuli uraia wake umewahi kuchunguzwa!? Au yeye hatokei kule mipakani? Anavyo vielelezo kuwa hana asili ya huko Rwanda/Burundi ?
 
Anavyo ndo maana tumempa Urais.Nyie ni TISS ?mpaka amepewa Urais Akili kubwa imejiridhisha yy ni raia halisi wa Tanzania huu ndo mchango wangu wa mwisho kwenye hili jambo la uraia, ila nakuasa Let us celebrate our dissimilarities.
 
Je hao ambao pole pole anataka wachunguzwe na uhamiaji ana uhakika siyo raia wa Tanzania? Vyeti vya kuzaliwa vya hao watu anavyo yeye polepole, mwambieni afanye kampeni za kisasa siyo kupayuka payuka tu kwenye vyombo vya habari kila siku press conference zinamsaidia nini analeta uongo uongo tu ambao unazidi kumshusha kiheshima hata kuharibu chama. Kampeni hizi ni ngumu anatakiwa aone atamalizaje siyo kuleta hoja dhaifu dhaifu kwenye vyombo vya habari.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom