Polepole: Msinishauri kuhusu maisha, mimi sina malengo

Kwa wasiomjua Polepole, wanadhani ni sauti mpya ya mabadiliko.
Kwa tuliomwona alipokuwa na nguvu tunajua huu ni mchezo wa kusaka huruma na kujinufaisha kisiasa
Anatafuta jukwaa jipya, baada ya kupoteza lile la zamani Bwana Slow Slow ni Fisi aliye jivika ngozi ya kondoo
 
..wewe ridhika na makombo unayotupiwa na wanaokutuma..umshambulie Polepole, huna tofauti na mbwa koko asiye na pa kuishi..Polepole sio saiz yako!
 
Kuna watu wanamuona kama masihi wao, soon watashangazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…