Polepole kufungwa au kunyongwa ikiwa tu...

bro alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
1,898
Reaction score
2,256
Katika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake nao walianza kumtafuta baada ya kutoonekana kazini lakini hakupatikana hata kwa njia za mawasiliano na juhudi kubwa imefanywa bila mafanikio.

Ikumbukwe siku za nyuma Pius aliekuwa msaidizi wa Humphrey polepole aliibuka na kudai polepole alikuwa akifanya zinaa na wanawake tofautitofauti na anapaswa kuwaomba msamaha wanawake hao kwani kawachezea sana, ilo lilikua ni Moja ya mambo alio kuwa anayasema kuhusu polepole na mambo mabaya yake ya siri.

Anadai BAADA ya hayo alianza kupokea vitusho kutoka kwa polepole kwa kupigiwa simu na kutumiwa jumbe kwamba ata potezwa asipo acha kumfatilia, lakini Pius hakuacha, pia alirekodi vitisho vyote nakuwaonesha wafanyakazi wenzake na ndugu na vimehifadhiwa hivo polepole asipo toa maelezo juu ya ndugu yao alipo wataweka wazi na wametoa masaa 24 tu polepole ajitokeze kufafanua kuhusu ndugu yao lasivyo hatua za kisheria zitafat.

Je huu ni michezo wa kumtia ndege tunduni ili iwe nafuu kumtafuta kwa udi na uvumba na kumshika bwana Humphrey polepole kama muuwaji au mtekaji?

Tusubiri muda waliotoa ndugu uishe tuone watafanya nini? Vyanzo le mutuz tv, bingo media

Nipen Deal of million dollars, kwishaaaaa
 
Attachments

  • Screenshot_20250906-093935.png
    Screenshot_20250906-093935.png
    613.1 KB · Views: 21
  • Screenshot_20250906-093028.png
    Screenshot_20250906-093028.png
    756.4 KB · Views: 23
  • Screenshot_20250906-093907.png
    Screenshot_20250906-093907.png
    558.7 KB · Views: 22
Katika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake nao walianza kumtafuta baada ya kutoonekana kazini lakini hakupatikana hata kwa njia za mawasiliano na juhudi kubwa imefanywa bila mafanikio.

Ikumbukwe siku za nyuma Pius aliekuwa msaidizi wa Humphrey polepole aliibuka na kudai polepole alikuwa akifanya zinaa na wanawake tofautitofauti na anapaswa kuwaomba msamaha wanawake hao kwani kawachezea sana, ilo lilikua ni Moja ya mambo alio kuwa anayasema kuhusu polepole na mambo mabaya yake ya siri.

Anadai BAADA ya hayo alianza kupokea vitusho kutoka kwa polepole kwa kupigiwa simu na kutumiwa jumbe kwamba ata potezwa asipo acha kumfatilia, lakini Pius hakuacha, pia alirekodi vitisho vyote nakuwaonesha wafanyakazi wenzake na ndugu na vimehifadhiwa hivo polepole asipo toa maelezo juu ya ndugu yao alipo wataweka wazi na wametoa masaa 24 tu polepole ajitokeze kufafanua kuhusu ndugu yao lasivyo hatua za kisheria zitafat.

Je huu ni michezo wa kumtia ndege tunduni ili iwe nafuu kumtafuta kwa udi na uvumba na kumshika bwana Humphrey polepole kama muuwaji au mtekaji?

Tusubiri muda waliotoa ndugu uishe tuone watafanya nini? Vyanzo le mutuz tv, bingo media

Nipen Deal of million dollars, kwishaaaaa
Ujinga mzigo. Zamu hii mtataga mafii..!!!
 
KWAHIYO UKIFANYA ZINAA NA MWANAMKE UNAOMBA MSAMAHA?

HAYA NI MAMBO YA KIJINGA.
 
THIS IS RUBBISH FROM THE VERY OPPRESSORS OF THIS TAIFA
 
Kaka ye KADAI polepole ni kioo cha jamii hakupaswa kufanya hayo, kutumika mamlaka vibaya je dada yako naye ange pituwa ungesema hivi?

Nipen deal of million dollars, kwishaaa
Kwani hao waliodaiwa kufanya zinaa na Polepole:
1. walibakwa au walikubaliana wakabanduane???
2. Kuna mahali wamelalamika au wameshitaki?? Au wameshitaki kwa Pius??
3. Yeye anayewasemea hao wanawake, wamemtuma??
 
Hamna ilikua tu kumtoa nyoka pangoni, kibaya polepole akajaa akaanza tuma vitisho ikiwemo kumpoteza bwana Pius na ushahidi wanao na ulionyeshwa kwa familia na wafanyakazi wenzake

Nipen deal of million dollars, kwishaaa
 
Katika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake nao walianza kumtafuta baada ya kutoonekana kazini lakini hakupatikana hata kwa njia za mawasiliano na juhudi kubwa imefanywa bila mafanikio.

Ikumbukwe siku za nyuma Pius aliekuwa msaidizi wa Humphrey polepole aliibuka na kudai polepole alikuwa akifanya zinaa na wanawake tofautitofauti na anapaswa kuwaomba msamaha wanawake hao kwani kawachezea sana, ilo lilikua ni Moja ya mambo alio kuwa anayasema kuhusu polepole na mambo mabaya yake ya siri.

Anadai BAADA ya hayo alianza kupokea vitusho kutoka kwa polepole kwa kupigiwa simu na kutumiwa jumbe kwamba ata potezwa asipo acha kumfatilia, lakini Pius hakuacha, pia alirekodi vitisho vyote nakuwaonesha wafanyakazi wenzake na ndugu na vimehifadhiwa hivo polepole asipo toa maelezo juu ya ndugu yao alipo wataweka wazi na wametoa masaa 24 tu polepole ajitokeze kufafanua kuhusu ndugu yao lasivyo hatua za kisheria zitafat.

Je huu ni michezo wa kumtia ndege tunduni ili iwe nafuu kumtafuta kwa udi na uvumba na kumshika bwana Humphrey polepole kama muuwaji au mtekaji?

Tusubiri muda waliotoa ndugu uishe tuone watafanya nini? Vyanzo le mutuz tv, bingo media

Nipen Deal of million dollars, kwishaaaaa
Haya ndo madhara ya kutumika na oppressors. Wanaweza kukutumia hata maiti yako.
 
Hamna ilikua tu kumtoa nyoka pangoni, kibaya polepole akajaa akaanza tuma vitisho ikiwemo kumpoteza bwana Pius na ushahidi wanao na ulionyeshwa kwa familia na wafanyakazi wenzake

Nipen deal of million dollars, kwishaaa
Sasa mtu una ushahidi, why usiende kushitaki??? Na hivi wanavyomtafuta, si ndo tayari atakuwa kapatikana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom